Yote kwa yote. Hakuna wakumwangushia lawama zaidi ya uongozi wa timu ya yanga.
mashindano haya ni makubwa sana na yanahitaji maandalizi yakutosha. Haiingi akilini timu inakwenda kuweka kambi morogoro na kufuraia kucheza na vitimu vidogo na kuvifunga gol 10 alafu mnachekelea na kujivuna!
wenzao township rollers walikua wameweka kambi kule Africa ya kusini. Kila mtu atavuna alichopanda. Mimi kama mwana simba mzalendo nimehuzunika sana kwa matokeo ya yanga.
nawapongeza KMC na Simba kwa kupata sare ya ugenini. Ushauri wangu kwa yanga wajipange lolote linawezekana. Timu hizi zikifanya vizuri sifa nikwa taifa letu.