Usijali Kipenzi. Umejua kunijaza kama Makambo. ππNa unavyopendezaga ukicheka lile cheko lako, uendelee tu kucheka mpenzi
Sijaongeza chumvi hata kidogo unastahili kila sifa niliyoitamka love.....ila pia gauni la red kama la hiyo emoj sina hata la kuongeza..ka.a dera lileeeπ€Usijali Kipenzi. Umejua kunijaza kama Makambo. ππ
ππ πππ Haya jiandae wiki ijayo twende Zambia tukawaone wa Kimataifa. Mi nishaanza kufanya mipango huku Songea love.Sijaongeza chumvi hata kidogo unastahili kila sifa niliyoitamka love.....ila pia gauni la red kama la hiyo emoj sina hata la kuongeza..ka.a dera lileeeπ€
Ng'ombe hanenepei mnadani Shadeeya hayo mawaidha na mafunzo wangewapa sikunyingi kabda saivi jua limekuchwa bna Zesco washawasomaNYOTA WA ZAMANI YANGA KUONGEZA NGUVU .
.
.
Nyota waliowahi kutamba na kikosi cha Yanga miaka ya nyuma wanatarajiwa kukutana na wachezaji wa timu hiyo kuwapa hamasa kuelekea mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Zesco United
Yanga inatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam mwanzoni mwa wiki ijayo kuelekea Zambia kwa ajili ya mchezo huo utakaopigwa Septemba 28 uwaja wa Levy Mwanawasa, Ndola, Zambia
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa Sam Mwaitenda alisema wachezaji hao watawaongezea morali ya kufanya vizuri huko Zambia
Yanga pia imetoa fursa kwa mashabiki wake kuongozana na timu nchini Zambia kuhakikisha kikosi kinapata sapoti ya kutosha siku ya mchezo
Katibu wa kamati ya Hamasa Deo Mutta alisema safari ya mashabiki hao kuelekea Ndola itakuwa na sura tofauti kwa makundi ambayo yataanzia ya yale ya Nyanda za juu Kusini Iringa, Songwe, Njombe na Mbeya ambao safari yao itanzia Tunduma kuelekea Ndola huku gharama ikiwa Sh 110,000 kwa kwenda na kurudi.
Mutta alisema kwa mikoa mingine ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani gharama za safari itakuwa ni Sh 200000 kwa kila kitu kasoro chakula na malazi.
Alisema kwa wanachama wenye hati ya kusafiria,hati ya chanjo gharama yao itakuwa ni Sh 150,000 ambapo wote watakaohitaji kwenda wanatakiwa kukamilisha malipo kabla ya Septemba 22,2019 huku safari ilitarajiwa kuanza Septemba 25.
Tukubaliane kabisaa mamii tukifika huko navaa jezi ya Zesco au vipππ€£ππ πππ Haya jiandae wiki ijayo twende Zambia tukawaone wa Kimataifa. Mi nishaanza kufanya mipango huku Songea love.
Mwaka huu ndio atakaponenepa sasa.Ng'ombe hanenepei mnadani Shadeeya hayo mawaidha na mafunzo wangewapa sikunyingi kabda saivi jua limekuchwa bna Zesco washawasoma
Usisahau kwamba sisi sio wale wa kupigwa khamsa khamsa ugenini ujue.ππSafari hiyo sasa mnatakiwa mkaongeze nguvu kupunguza magoli kama utalipa nauli au utaweka wese unyanyuke ili mradi mkawafariji vijana wenu wanaokwenda kuaibika
Ushawasikia wenyewe lakini? Wanakwambia toka Chama lao Zesco lianzishwe halijawahi kupoteza mechi nyumbani, kwa hiyo mjipange tu maana hapo ni mwendo wa kupunguza idadi ya magoli ya kufungwaMwaka huu ndio atakaponenepa sasa.
Usisahau kwamba sisi sio wale wa kupigwa khamsa khamsa ugenini ujue.ππ
Tukubaliane kabisaa mamii tukifika huko navaa jezi ya Zesco au vipππ€£
Yaani ntajihisi kama nakabwa na zimwi sijui jini! Nyie wenyewe juzi Voda wameweka ka alama kadogo tu ka red, mlivyoruka!π€£View attachment 1212142
Hapo mi mweupe navaa hiyo ya njano kisha we mweusi utavaa hiyo ya kijani. π€£π€£π€£π€£
Maneno tu haya kipenzi na hii ndio imefanya hata na nyie mkajisahau yakawakuta ya kuwakuta kwa kudhania eti Taifa ni kaburini kwa kila ajaye.Ushawasikia wenyewe lakini? Wanakwambia toka Chama lao Zesco lianzishwe halijawahi kupoteza mechi nyumbani, kwa hiyo mjipange tu maana hapo ni mwendo wa kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa
Uje uvae bwana. ππYaani ntajihisi kama nakabwa na zimwi sijui jini! Nyie wenyewe juzi Voda wameweka ka alama kadogo tu ka red, mlivyoruka!π€£
Sisi tuliweka dharau love ila nyie uwezo wenu umeishia paleπ€£π€£π€£Maneno tu haya kipenzi na hii ndio imefanya hata na nyie mkajisahau yakawakuta ya kuwakuta kwa kudhania eti Taifa ni kaburini kwa kila ajaye.
Dah! Hiyo ngumu kumeza mamiiπUje uvae bwana. ππ
Haya mpenzi subiri basi tukakustaajabishe huko Zambia.Sisi tuliweka dharau love ila nyie uwezo wenu umeishia paleπ€£π€£π€£
π π πDah! Hiyo ngumu kumeza mamiiπ
Nawatakia kila la heri mpenzi ila ni timu moja tu katika historia iliyowahi kufanya maajabu na kupindua meza kibabe ndani ya Zambia na mbele ya Rais wao na Wazambia wanaijua na ipo kwenye rekodi za CAFHaya mpenzi subiri basi tukakustaajabishe huko Zambia.
Hata na sie tukiyafanya hayo septemba 28 , nayo mwisho wa siku yatakuwa Historia pia love. ππNawatakia kila la heri mpenzi ila ni timu moja tu katika historia iliyowahi kufanya maajabu na kupindua meza kibabe ndani ya Zambia na mbele ya Rais wao na Wazambia wanaijua na ipo kwenye rekodi za CAF