Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😀😀😀 hizi maneno za kudumaza hata hatuzitaki saa hii.Hahahaa sioni hata dalili ya mfupa love sembuse nyama😂😂😂
Kukata tamaa ndio mwanzo wa kuanguka kipenzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 hizi maneno za kudumaza hata hatuzitaki saa hii.Hahahaa sioni hata dalili ya mfupa love sembuse nyama😂😂😂
Exactly. Maneno yao ya kuturudisha nyuma hatuyajali.Tunapindua meza kibabe....[emoji107]
Muanguke mara ngapi tena mamii, mbona mlishakufa tangia mechi ya kwanza pale kwa Mkapa!?😀😀😀 hizi maneno za kudumaza hata hatuzitaki saa hii.
Kukata tamaa ndio mwanzo wa kuanguka kipenzi.
Sasa huruma inakujaje wakati kama kutolewa hata na wewe Simba ulishatolewa.Nawaonea huruma sana nyie vyura wa jangwani
Tusubiri tuone kipenzi.Muanguke mara ngapi tena mamii, mbona mlishakufa tangia mechi ya kwanza pale kwa Mkapa!?
Mimi ngoja niwe tofauti kidogo, kama Yanga kweli itakua na ubavu wa kupindua meza kibabe na kushinda au ikafanikiwa kufuzu leo,siwezi kusema nitavua nguo au nitaogelea baharini hadi Bgamoyo bali kuna zawadi yako utapata ikiwa imewekwa kwenye mfuko au kifungashio cha rangi ya njano😍😛😛😛Tusubiri tuone kipenzi.
Ewaaaa. Haya ndio maneno na sio mnatukalia kooni kama haiwezekani tukapita mbele ya Zesco.Mimi ngoja niwe tofauti kidogo, kama Yanga kweli itakua na ubavu wa kupindua meza kibabe na kushinda au ikafanikiwa kufuzu leo,siwezi kusema nitavua nguo au nitaogelea baharini hadi Bgamoyo bali kuna zawadi yako utapata ikiwa imewekwa kwenye mfuko au kifungashio cha rangi ya njano😍😛😛😛
ShirikishoTUNAGANGA YAJAYO SASA.