Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ndugu yenu Kagera sugar amewaangusha,hamuamini mlichokiona.
Kila la kheri Zesco.
 
20190927_060852.jpg
 
Tusubiri tuone kipenzi.
Mimi ngoja niwe tofauti kidogo, kama Yanga kweli itakua na ubavu wa kupindua meza kibabe na kushinda au ikafanikiwa kufuzu leo,siwezi kusema nitavua nguo au nitaogelea baharini hadi Bgamoyo bali kuna zawadi yako utapata ikiwa imewekwa kwenye mfuko au kifungashio cha rangi ya njano😍😛😛😛
 
Ewaaaa. Haya ndio maneno na sio mnatukalia kooni kama haiwezekani tukapita mbele ya Zesco.
 
Kumbukumbu:
Tarehe 28 Mwezi wa tisa,2019 siku ya jumamosi.
Abduli-Azizi Makame wa YANGA SC kajifunga goli dhidi ya ZESCO UNITED.
Hivo kuisaidia ZESCO UNITED iende kwenye makundi na kuisababisha YANGA SC itolewe kwenye LIGI YA MABINGWA AFRIKA.
HONGERA ZESCO UNITED FOOTBALL CLUBS.
MMEPINDUA MEZA KIBABE.
 
Back
Top Bottom