Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Oooh!!! Sawa Pacha.Hiyo tunaiita (Correct Score) CS 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh!!! Sawa Pacha.Hiyo tunaiita (Correct Score) CS 😅
Kwani Zahera ndio muarobaini wa matatizo ya Chura FC? Angalau wakati yeye hayupo mmepata ushindi kwa CoastZAHERA ABAKIZA MECHI MOJA YANGA
Baada ya kukosa mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu akiwa na kikosi cha Yanga, Kocha Mwinyi Zahera sasa amebakiza mechi moja pekee kuanza kukaa kwenye benchi la ufundi.
Hivi karibuni Kocha huyo ambaye ni raia wa Congo, alifungiwa mechi tatu baada ya kuingia uwanjani akiwa na mavazi ambayo si nadhifu kwa mujibu wa Tff huku kanuni za Bodi ya Ligi zikiwa haziruhusu.
Baada ya kifungo hicho, Zahera alikosa mechi mbili ambazo ni dhidi ya Polisi Tanzania na Coastal Union na sasa amebakiza mechi moja tu ili adhabu yake iishe.
Katika mechi mbili za Yanga zilizopita, bila Zahera, Yanga ilifanikiwa kupata alama nne baada ya sare ya 3-3 dhidi ya Polisi na ushindi wa bap 1-0 dhidi ya Coastal.
Yangafulldozz
Ses tunajua amumpendi na hilo liko wazi kabisaaaa. Mi nimekumbusha tu kwamba kabakisha mechi moja Bhaaas. 😛Kwani Zahera ndio muarobaini wa matatizo ya Chura FC? Angalau wakati yeye hayupo mmepata ushindi kwa Coast
Nikwambie kitu mamii? Huyo msemaji wenu wa klabu ambaye wenyewe mnamuita kocha nyie wenyewe, kwahiyari yenu, bila kulazimishwa na mtu yeyote muda si mrefu mtamfungulia mlango wa kutokea maana mtaona anawazingua tu, yetu machoSes tunajua amumpendi na hilo liko wazi kabisaaaa. Mi nimekumbusha tu kwamba kabakisha mechi moja Bhaaas. 😛
Wewe dada una roho ngumu sana kuendelea kuifuatilia Yanga waziwazi. Wenzio wanazima redio na TV, wanakuja kusikilizia mwisho wa mechi au kipindi cha michezo EFMMechi za kwanza itapigwa Oktoba 27 na mechi za marudiano ni November 3.
😀😀😀Wewe dada una roho ngumu sana kuendelea kuifuatilia Yanga waziwazi. Wenzio wanazima redio na TV, wanakuja kusikilizia mwisho wa mechi au kipindi cha michezo EFM
Ingekuwa kujiua ningejiuaga zamani sana Mkuu hasa ile mechi ya Simba na Yanga sijui ya mwaka gani ile ambapo mpaka first half yanga tuliongoza kwa bao 3 kisha second half zikakombolewa zote mana nilipataga maumivu ya ajabu.
🤣🤣🤣🤣 Hata sijakuelewa hapa Mkuu.
Duuh! Hii sikuwa nimezaliwa Mkuu.Na ile ya Yanga kufungwa na Simba 6 - 0 tena kwao pale Jangwani (1976)?