Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mpaka sasa Yanga bado wana mtaji wa bao.
 
Half time hapa dar simba 2-o majimaji

Si kweli mkuu..............

Matokeo so far ni Simba 2 Majimaji 1..........Goli la majimaji ni la penati limefungwa dakika ya 42 na Meshack Abel akapewa Red card ya kujitakia
 
Kirumba vipi? Mimi ni Yanga, lakini Toto wako fiti, Yanga anaweza asitoke labda atangaze dau zuri.
 
....Mliopo KIRUMBA, matokea apoje? mtuhabarishee jamani.
 
Ijapokuwa mimi ni simba lkn simba kuchukua ubingwa ni ishu kwa leo kwani toto ataaachia tu
 
Mimi huku nishaanza kushangilia mkuu YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!! BINGWA!!!!! BINGWA!!! Watake wasitake ubingwa wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…