Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Toto 0 Yanga 3

Mpira umekwisha Yanga bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Yanga Imetwaa ubingwa wa Ligi, Simba na Yanga walikua wakitofautiana kwa wingi wa magoli tu, ref wa Simba na Majimaji lionesha kila dalili za kuibeba Simba ili ipate goli nyingi zaidi katika game ya leo, lakini penati ya kizushi aloitoa katika dakika za majeruhi iligongeshwa mwamba na emmanuel Okwi na kuipya Yanga Ubingwa wa LIGI.
 
PHP:
HAKuna lolote mpira nimeuona umechezwa uzuri tu....acheni visingizio

Uzushi ni Yanga kuwa BINGWA au refa kuuma?
 
HAKuna lolote mpira nimeuona umechezwa uzuri tu....acheni visingizio

Mkuu labda uliangalizia pale Msimbazi lakini kiukweli wachezaji wa majimaji walitaka sana kuwapa goli, zile faulo walizo kuwa wanafanya ni kama walikuwa wanamuomba refa atoe penati, na yule mpuuzi aliye tafuta red kadi, lakini hiyo yote imeshindwa kuwabeba, mnyama chali.
 
Samahanini sana wana jf najua sio mahali pake lakini napenda kuto pongezi kwa Timu ya Yangwa kwa kutwaa Ubigwa wa Vodacom. Matokeo ya leo SIMBA 4 MAJIMAJI 1,, YANGA 3 TOTO AFRICANS 0 ,,, KWA HIYO YANGA AMEKUA BINGWA KWA TOFAUTI YA GOLI 1.
 
Hongera yanga!! Naona rangi ya kijani inazidi kung'ara!! teh teh teh teh teh:yield:
 
tumekusamehe lakini mbona kuna jukwaa la michezo, mbona usipost huko?
 
Back
Top Bottom