Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchakachuaji ni mpaka gorini,(kipa wa Toto alikua anajigeuzageuza, wakati mwingine atambaatambaa na mpira gorini akisubiri mchezaji yeyote wa Yanga ajitokeze ili amugongeshe uingie kwenye nyavu ) ndilo soka la kibongo hilo
Samahanini sana wana jf najua sio mahali pake lakini napenda kuto pongezi kwa Timu ya Yangwa kwa kutwaa Ubigwa wa Vodacom. Matokeo ya leo SIMBA 4 MAJIMAJI 1,, YANGA 3 TOTO AFRICANS 0 ,,, KWA HIYO YANGA AMEKUA BINGWA KWA TOFAUTI YA GOLI 1.
Wakuu Leo kumejitokeza mambo ya ajabu katika mechi ya Yanga na Toto ambapo tiketi za shs 5000 kwa ajili ya jukwaa kuu ziliuzwa shs 10,000/ eti kwa utetezi kuwa kulikuwa na typing error. TRA mpo?