Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Haya tushaweka mkeka, mi ntakusubiri wewe unifate ili nije kula hizo korosho maana hata mazungumzo ya Zahera kama kajikatia tamaaNitafunga safari toka huku Mtwara kuja huko kukuletea korosho. 🤣🤣🤣
Mmh. Hamkosi kasoro. 😎😎😎Haya tushaweka mkeka, mi ntakusubiri wewe unifate ili nije kula hizo korosho maana hata mazungumzo ya Zahera kama kajikatia tamaa
Unaporudiarudia kusema unamuheshimu mpinzani wako inakua ushaingia ubaridiMmh.
Usijali kabisaaa.Haya tushaweka mkeka, mi ntakusubiri wewe unifate ili nije kula hizo korosho
Hivyo alipaswa asemeje pale ses?Unaporudiarudia kusema unamuheshimu mpinzani wako inakua ushaingia ubaridi
Aongee kwa kujiamini banaaHivyo alipaswa asemeje pale ses?
Kama kwa kusema hayo ni hivyo basi hata waarabu washaingia ubaridi tena Mkubwa sana.Unaporudiarudia kusema unamuheshimu mpinzani wako inakua ushaingia ubaridi
Wao wanadhani kila mtu Ni Manara tu, hivyo walitaka aseme "Waarabu wapumbavu tu,tutawachabanga mibao kama nane hivi. Wanasahau kwamba Yanga timu ya wananchi inaendeshwa kwa weredi na ndio mana hadi sasa inashiriki mashindano ya kimataifa. Ujue Manara Mara zote huwa anafikiria kwa niaba ya wamatopeni wote na ndicho kilichowaponza kwa UD Songo. Ana kweli Aden Rage aliona mbali alipowapa ile sifa yao kuu.Hivyo alipaswa asemeje pale ses?
😀😀😀😀Wao wanadhani kila mtu Ni Manara tu, hivyo walitaka aseme "Waarabu wapumbavu tu,tutawachabanga mibao kama nane hivi. Wanasahau kwamba Yanga timu ya wananchi inaendeshwa kwa weredi na ndio mana hadi sasa inashiriki mashindano ya kimataifa. Ujue Manara Mara zote huwa anafikiria kwa niaba ya wamatopeni wote na ndicho kilichowaponza kwa UD Songo. Ana kweli Aden Rage aliona mbali alipowapa ile sifa yao kuu.
Hahahaha imetimiaYawmul QIYAMA.
Mmmh. 😳😳😳Yawmul QIYAMA.
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI HAPO 16:00HRS DHIDI YA PYRAMIDS FC.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Usijali Mtani. Kikubwa uwe na kumbukumbu tu.Ukishinda leo kuna elfu 30 yako.
N.B DRAW NO BET.
Hahahahahahahahah Labda mshinde njaa.Usijali Mtani. Kikubwa uwe na kumbukumbu tu.
#tunashindanahutaamini.