Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Gari aina ya Coastal T 286 DPC iliyokuwa inasafirisha mashabiki wa Yanga kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza umepata ajali ukiwa Kibaha mkoa wa Pwani, kwa muji wa muandishi wa habari Hatibu kutoka Shutikali TV aliyejeruhiwa kidogo ni mtu mmoja #MillardAyoSPORTS millardayo on Twitter
IMG_20191026_000037.jpeg
IMG_20191026_000034.jpeg
 
Hivyo alipaswa asemeje pale ses?
Wao wanadhani kila mtu Ni Manara tu, hivyo walitaka aseme "Waarabu wapumbavu tu,tutawachabanga mibao kama nane hivi. Wanasahau kwamba Yanga timu ya wananchi inaendeshwa kwa weredi na ndio mana hadi sasa inashiriki mashindano ya kimataifa. Ujue Manara Mara zote huwa anafikiria kwa niaba ya wamatopeni wote na ndicho kilichowaponza kwa UD Songo. Ana kweli Aden Rage aliona mbali alipowapa ile sifa yao kuu.
 
😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom