Hata na mie najiuliza hapa Mkuu. π€
AMi naona sio mbaya labda shida ni ile waliyosema mikia (sina hakika huenda walimsingizia pia) kwamba ameshindwa kusimamia discipline ndani ya timu. Mana akishashindwa kuisimamia basi hakutakuwa na timu tena kwani kila mchezaji ataamua afanye kile akitakacho akitegemea amepata kocha poa.
Kama vp wampe nafasi tuone.
Naskia mlitanguliza nyuki uwanjani Shadeeyaπ€£π€£π€£
Tusubirie tuone wacha kututisha bwana Ses.A
Mchukueni tu Shadeeya ila akishindwa kusimamia nidhamu ndio mtajua kwanini sumu haijaribiwi kwa kuionja. Na ukizingatia pale Chura FC kuna wachezaji watumiaji wazuri wa Jamaican Vegetable basi itakua mambo ni moto hasaa
Kuna video niliiona muda wa asubuhi nikajikuta nacheka sana yaani lol.Naskia mlitanguliza nyuki uwanjani Shadeeyaπ€£π€£π€£
Umoto utaletwa na huyo mwalimu asiweza kusimamia nidhamu za wachezaji wake na huku kwenye kikosi cha wachezaji kuna wanaotumia cha Arusha au wengine wanaita mboga ya Jamaica, si patawaka moto hapo mamii?Tusubirie tuone wacha kututisha bwana Ses.
Umoto utaaletwa na nini sasa? π
Hata mimi nilicheka sana kwakweli, nikasema hawa wadudu hawana adabu kabisa! Yaani wanawalaza watu chini bila kupenda! Ila ukijifanya mjuaji wanaondoka na roho yako, nyuki si wakuchezea ShadeeyaKuna video niliiona muda wa asubuhi nikajikuta nacheka sana yaani lol.
Haijawahi kutokea watu wakalala chini namna ile aisee. Halafu yule sijui ni sonso au Moro alisimama wacha wamfuate akabakia kujikung'uta tu.
#amakwelisimbasiwatuwazuri. Teh teh
Hakuna cha kuuwasha moto bwana.Umoto utaletwa na huyo mwalimu asiweza kusimamia nidhamu za wachezaji wake na huku kwenye kikosi cha wachezaji kuna wanaotumia cha Arusha au wengine wanaita mboga ya Jamaica, si patawaka moto hapo mamii?
Hiyo hapo π πHata mimi nilicheka sana kwakweli, nikasema hawa wadudu hawana adabu kabisa! Yaani wanawalaza watu chini bila kupenda! Ila ukijifanya mjuaji wanaondoka na roho yako, nyuki si wakuchezea Shadeeya
Yetu macho, na tusubiri tuone ila msije sema hatukuwaambia mapemaHakuna cha kuuwasha moto bwana.
Kila mmoja atasimamia nafasi yake na kwa kuwa tumeshaijua shida aliyonayo mwalimu ninaamini uongozi utamuweka wazi ili na yeye ajue namna ya kulisimamia hilo.
Nyuki hawafai kabisa Ses nakumbuka nikiwa la kwanza waliwahi kumng'ata mwanafunzi mwenzetu mpaka akafariki.Hata mimi nilicheka sana kwakweli, nikasema hawa wadudu hawana adabu kabisa! Yaani wanawalaza watu chini bila kupenda! Ila ukijifanya mjuaji wanaondoka na roho yako, nyuki si wakuchezea Shadeeya
Hahahaaa. Leo hii mnajifanya weeema. πππββοΈπββοΈπββοΈ Kumbe hamna lolote.Yetu macho, na tusubiri tuone ila msije sema hatukuwaambia mapema
Timu ya wananchi inaweza kwenda hata vitani Wallah, si kwakulala chini fasta kama hivo kama wanajeshiπ€£π€£π€£π€£Hiyo hapo π π
Poleni sana japo imepita miaka mingi toka afariki huyo mwenzenu wa darasa la kwanzaNyuki hawafai kabisa Ses nakumbuka nikiwa la kwanza waliwahi kumng'ata mwanafunzi mwenzetu mpaka akafariki.
Hivyo nyuki sio wa kuchezea kabisa mana ukiwa mbishi hata manundu yanakuhusu. π π π
Nyuki kitu kingine atii. π€£Timu ya wananchi inaweza kwenda hata vitani Wallah, si kwakulala chini fasta kama hivo kama wanajeshiπ€£π€£π€£π€£
Lunyasi sisi ni wema sana, tunataka mje uwanjani mkiwa hamna kisingizio sijui cha hatuna kocha, hatuna mazoezi mara tumeng'atwa na nyuki ili kichapo kiwe cha halali na kiwaingie barabara mkiwa na akili zenu timamu na bila kushawishiwa wala kulazimishwa na mtu yeyoteHahahaaa. Leo hii mnajifanya weeema. πππββοΈπββοΈπββοΈ Kumbe hamna lolote.
Sasa nyie hata friend match mnatest mitambo! Sio poa kabisa Shadeeya kuwapelekea wale watoto nyukiNyuki kitu kingine atii. π€£
Muwalete tena na tarehe 04 basi.