Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli na sababu ya kutochangia ni haya mambo tunayoyasikia kwenye vyombo vya habari, mara leo kuna hiko mara kesho hiki, in short nadhani ndani ya timu bado kuna mambo hayapo sawa na ndo yanayotupa wasiwasi kila tukifikiria mstakabali wa hapo mbele itakuajeUzi mrefu sana huu na watu si wengi ambao wanachangia wengi wanapita kimya kimya.
Ni kweli kabisa Mkuu na inahitaji moyo wa chuma kuifuatilia Timu ya Wananchi hasa kipindi hiki mana ni zaidi ya kigumu.Ni kweli na sababu ya kutochangia ni haya mambo tunayoyasikia kwenye vyombo vya habari, mara leo kuna hiko mara kesho hiki, in short nadhani ndani ya timu bado kuna mambo hayapo sawa na ndo yanayotupa wasiwasi kila tukifikiria mstakabali wa hapo mbele itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende tu na timu yetu,yatakwisha tu,naamini viongozi wanapambana sana kuokoa jahaziNi kweli na sababu ya kutochangia ni haya mambo tunayoyasikia kwenye vyombo vya habari, mara leo kuna hiko mara kesho hiki, in short nadhani ndani ya timu bado kuna mambo hayapo sawa na ndo yanayotupa wasiwasi kila tukifikiria mstakabali wa hapo mbele itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaenda kuibua migogoro ndani mikianiYanga Nguvumoja, tarehe 4 mikia watapata kipigo ambacho hawatakaa wakisahau.