Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Soka la Tanzania huwa linakera sana Mkuu. Yaani yule Mama alinikera sana.

Watasema tunataka ushindi wa kupewa ila pale tulistahili kupata penalties.
Refa ni binadamu ujue Shadeeya, na hawezi kuona kila tukio kwa asilimia mia moja. Na hiyo ndio inaleta raha na msisimko kwenye soka,

Yaani tuache mpira uchezwe na binadamu na uchezeshwe na binadamu, tuache yafanyike makosa ya kibinadamu, ndio raha yenyewe hiyo kuliko kuanza kutumia hayo ma ARV sijui VAR utadhani play station au watu wanaenda kupiga kura!!!
 
Ni sawa yule ni binadamu lakini sio kwa makosa yale tena ya waziwazi.

Ila tulishashukuru na tunaganga ya Wajelajela leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…