Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Oyeeeeeee!!!Unafikiri mikia inafurahi!! YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEER!!!
Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
Ngoja tufanye kwa sababu ni kamoja hivyo Yanga hatujapata pointi tatu
Point 3 kwapani, mikia imetulia.Ngoja tufanye kwa sababu ni kamoja hivyo Yanga hatujapata pointi tatu
Wameingia mitini, wako kimya.Oyeeeeeee!!!
Yaani leo huwezi ona wanaanzisha nyuzi za kejeli.
π³π³π³ Mikia hawa M B U M B U M B U ama?Mikia leo wameshinda...bac leo watasherehekea kwa kula wali na kambare wanaowafuga pale jangwani....
Wangeongea sanaEwaaaa. Angalau mana kama nawaona Mikia ambavyo wangechonga.
Hahahahaaa. Ila hii mechi nilikuwa naihofia sana yaani Mkuu.Ngoja tufanye kwa sababu ni kamoja hivyo Yanga hatujapata pointi tatu
Ndio wajue huu ni mwanzo tu na tarehe nne wote watazima Data.Wameingia mitini, wako kimya.
Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
Refa kaibeba yanga? Kweli nyie ni mbumbumbu........yule alichezesha mechi ya mbeya city atakuwa Hi mdogo wa msomali maana alikuwa anafanya makusudi tuH
Aya bibie kwa leo umesameheka, ila utakapoangalia marudio usisite kuleta maoni yako maana kwenu Wananchi mkishinda ndio refa yupo fair lakini kinyume chake inakua nongwaπ€£π€£π€£
Sana yaani. Si unajua tena Manara kawaharibu.Wangeongea sana
Walikuwa hawajafungwa hawa wajinga,tangu ligi ianzeHahahahaaa. Ila hii mechi nilikuwa naihofia sana yaani Mkuu.
Saizi wamekuwa kimyaSana yaani. Si unajua tena Manara kawaharibu.
Sijui alikuwa anatumia sheria za wapi aisee?Refa kaibeba yanga? Kweli nyie ni mbumbumbu........yule alichezesha mechi ya mbeya city atakuwa Hi mdogo wa msomali maana alikuwa anafanya makusudi tu
Vichwa wanajulikana sasa hata ukitazama msimamo... Mikia pia wanajitambua vilevile....π³π³π³ Mikia hawa M B U M B U M B U ama?
Duuh!! Na bahati nzuri tumewaotea mapema la sivyo hata kama tungepata matokeo ingekuwa kwa mbinde zaidi.Walikuwa hawajafungwa hawa wajinga,tangu ligi ianze
Muogope Mungu Shadeeya! Usirudie tena hiyo kauli mamii, sawa eehπππNdio wajue huu ni mwanzo tu na tarehe nne wote watazima Data.
Tutayajua yote haya ikifika hiyo tarehe 04. ππMuogope Mungu Shadeeya! Usirudie tena hiyo kauli mamii, sawa eehπππ