Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacheza sana rafu,dakika za mwisho za nyongeza wamepata red card ila wamemuumiza makame na kaseke hawakumaliza mechiDuuh!! Na bahati nzuri tumewaotea mapema la sivyo hata kama tungepata matokeo ingekuwa kwa mbinde zaidi.
Duuh! Itakuwa matokeo hawakuyategemea ndio sababu.Wacheza sana rafu,dakika za mwisho za nyongeza wamepata red card ila wamemuumiza makame na kaseke hawakumaliza mechi
wenye yanga yenuDuuh! Itakuwa matokeo hawakuyategemea ndio sababu.
Wanacheza sana mielekaDuuh! Itakuwa matokeo hawakuyategemea ndio sababu.
Ilikuwa ni ya mashaka hivi hata timu ilivyocheza,ilicheza kwa tahadhari sana Leo ndio mana kwa kiasi kikubwa wachezaji Wa timu zote walikuwa wanaparamiana paramiana sanaHahahahaaa. Ila hii mechi nilikuwa naihofia sana yaani Mkuu.
Leo nahisi urushaji Wa mipira tunapokuwa eneo la adui lilikuwa ni sehemu ya mkakati Wa kiufundi na ndio mana mipira yote alikuwa anarusha makame na ilikuwa ina walenga wachezaji flani zaidi hasa maeneo ambayo Falcao alikuwa anakaaNaona leo Makame kawa kama Mbuyu Twite mana si kwa urushaji ule.
😀😀😀 Hapo ujue maji yalishazidi unga Mkuu.Wanacheza sana mieleka
😀😀 Dongo hili ndugu yangu ujue.wenye yanga yenu
Tatizo mechi imekuwa ya ghafla na wengi walijipanga kucheki game Mbeya sasa kumpa shabiki gharama ya kusafiri mpaka Iringa ambayo hakuipangilia sidhani kama ni rahisi.
Hakika Mkuu. Na kama hao wajela jela walikuja wakijiamini game washaimaliza. 😀Ilikuwa ni ya mashaka hivi hata timu ilivyocheza,ilicheza kwa tahadhari sana Leo ndio mana kwa kiasi kikubwa wachezaji Wa timu zote walikuwa wanaparamiana paramiana sana
Naona Bui kaja kivingine.Leo nahisi urushaji Wa mipira tunapokuwa eneo la adui lilikuwa ni sehemu ya mkakati Wa kiufundi na ndio mana mipira yote alikuwa anarusha makame na ilikuwa ina walenga wachezaji flani zaidi hasa maeneo ambayo Falcao alikuwa anakaa
Hapana ndugu maana kuna kitu kilinishtua ndio maana nikaandika hivyo[emoji3][emoji3] Dongo hili ndugu yangu ujue.