Huyu Tarik Seif anaonekana kabisa ni mshambuliaji. Ana kitu cha kutusaidia bila shaka siku za usoni. Akija kucheza na Nchimbi, Sibomana upande wa kushoto, upande wa kulia awekwe Balama, Ngasa au Kaseke, Tshishimbi, Fei Toto na Makame katikati, pale nyuma Adeyuni, Yondani, Moro na Juma Abdul/Boxer!
Hakika hiyo tarehe 04 January, ushindi ni lazima. Molinga aanzie benchi ikibidi. Hongereni Yanga kwa ushindi ingawa kipindi cha kwanza mlicheza "Kimasihara sana" Muwe mnajifunza kwa wenzenu Simba, huwa hawalembi wanapopewa nafasi ya kucheza na mwalimi wao.