Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mikia leo wameshinda...bac leo watasherehekea kwa kula wali na kambare wanaowafuga pale jangwani....
 
H
Aya bibie kwa leo umesameheka, ila utakapoangalia marudio usisite kuleta maoni yako maana kwenu Wananchi mkishinda ndio refa yupo fair lakini kinyume chake inakua nongwa🤣🤣🤣
Refa kaibeba yanga? Kweli nyie ni mbumbumbu........yule alichezesha mechi ya mbeya city atakuwa Hi mdogo wa msomali maana alikuwa anafanya makusudi tu
 
Back
Top Bottom