Nimefurahi kumuona Buyi hapo mana nlihisi tayari pancha ile
Duu striker nchimbi ndani!!
Ha ha ha kitu Adeyuni kwa pembeni Dante asee
Ha ha ha hii Yanga ishakuwa tishio kabla ya kufika tarehe 4. Huyu Yirpe huo mwili jumba natamani awe ana uwezo Wa kuutumia vema
Ha ha ha hii Yanga ishakuwa tishio kabla ya kufika tarehe 4. Huyu Yirpe huo mwili jumba natamani awe ana uwezo Wa kuutumia vema. Striker Wa hivyo halafu akutane na kamtu kama wawa si kila dakika ni lawama tu!!
Hakika Mkuu asipokuwa kama Molinga mbona wapinzani watauokota sana nyavuni.Ha ha ha hii Yanga ishakuwa tishio kabla ya kufika tarehe 4. Huyu Yirpe huo mwili jumba natamani awe ana uwezo Wa kuutumia vema