Umekuwa mimi Mkuu mechi mbili za juzi sikuwa karibu na kideo.Hii timu Leo nina kumuhemuhe cha kuiona
Hatuna sijui Kulikoni
Yupo japo nimeona Polisi Tanzania wameanza mizengwe sa sijajua kama tarehe nne atakuwepo sehemu ya mchezo.Duu strike nchimbi ndani!!
Yupo Mkuu.Nimefurahi kumuona Buyi hapo mana nlihisi tayari pancha ile
Matokeo ni muhimu sana Leo aseeUmekuwa mimi Mkuu mechi mbili za juzi sikuwa karibu na kideo.
Leo nasubiria nione. Natumai tutapata matokeo.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Bina nimekumisi.Nakuona kweneye ukurasa wenu mkubwaaaa lakini uwanja hamna..Hakika Mkuu asipokuwa kama Molinga mbona wapinzani watauokota sana nyavuni.
Hivi hawa wapumbavu bado tu hawajakubali yaishe? Mbona nasikia walisainiana mkataba Wa kimangungo na Azam juu ya uhamisho wake Wa mkopo? Mana nasikia walikubaliana tu kwa mdomo kwamba aende polisi kwa mkopo Wa msimu mmoja na baadae azam wamewachenjia gia angani? Wametumwa hawa au!?Yupo japo nimeona Polisi Tanzania wameanza mizengwe sa sijajua kama tarehe nne atakuwepo sehemu ya mchezo.
Vyovyote itavyokuwa muhimu zaidi tarehe 4 awepo na awe fit 100%Yupo Mkuu.
Sijajua sasa kama ataanza kwenye kikosi cha leo au ndio atakuwa sub.
Umekuwa mimi Mkuu mechi mbili za juzi sikuwa karibu na kideo.
Leo nasubiria nione. Natumai tutapata matokeo.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Mkwasa anatakiwa awe kocha msaidizi na si kocha Mkuu. Uwezo wake Wa kufundisha mpira ni mdogoMwinyi Zahera alitufanyia kitu mbaya sana! Kumuuza Makambo na kutuletea David Molinga! Mchezaji gani hana kabisa nguvu za miguu! Shuti lake utadhani ni la mtoto wa darasa la sita! Hana kabisa stamina. Aaaaaaaghhhh!!
Nina imani muda utakapowadia, Ditram Nchimbi na huyo Tariq nani sijui! watamchomesha mahindi mpaka aamue mwenyewe kuvunja mkataba na kurejea Congo.
Mkwasa ameanzisha viungo wanaocheza aina moja ya mchezo! Sijui lengo lake ni lipi. Mfano kuwaanzisha Kaseke, Ngasa na Sibomana. Kwa aina hii ya mfumo, kupata matokeo ni bahati nasibu. Aongeze mshambuliaji mwingine na kupunguza kiungo mmoja wa pembeni.
Mpira uko slow, hauvutii kabisa kwa wanajangwani.
Mkwasa anatakiwa awe kocha msaidizi na si kocha Mkuu. Uwezo wake Wa kufundisha mpira ni mdogo
Tumeshinda 1-0Matokeo vp
Hakuna Sheria za namna hiyo hii TFF ya Sasa sio fati ya kina ndolangaHivi hawa wapumbavu bado tu hawajakubali yaishe? Mbona nasikia walisainiana mkataba Wa kimangungo na Azam juu ya uhamisho wake Wa mkopo? Mana nasikia walikubaliana tu kwa mdomo kwamba aende polisi kwa mkopo Wa msimu mmoja na baadae azam wamewachenjia gia angani? Wametumwa hawa au!?
Huyu Tarik Seif anaonekana kabisa ni mshambuliaji. Ana kitu cha kutusaidia bila shaka siku za usoni. Akija kucheza na Nchimbi, Sibomana upande wa kushoto, upande wa kulia awekwe Balama, Ngasa au Kaseke, Tshishimbi, Fei Toto na Makame katikati, pale nyuma Adeyuni, Yondani, Moro na Juma Abdul/Boxer!
Hakika hiyo tarehe 04 January, ushindi ni lazima. Molinga aanzie benchi ikibidi. Hongereni Yanga kwa ushindi ingawa kipindi cha kwanza mlicheza "Kimasihara sana" Muwe mnajifunza kwa wenzenu Simba, huwa hawalembi wanapopewa nafasi ya kucheza na mwalimi wao.
Unamaanisha striker Nchimbi hatocheze Young Africans Sports Club "The Citizen Team" hadi msimu ujao? Kalaga baho!Hakuna Sheria za namna hiyo hii TFF ya Sasa sio fati ya kina ndolanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo binamu. Umejua kuadimika sana yaani.Bina nimekumisi.Nakuona kweneye ukurasa wenu mkubwaaaa lakini uwanja hamna..