Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Ni kweli kabisa kidunula1 ,Simba hua anakufa lakini sio kwa kelele za Chura bali pale anapopambana na wale wa level yake, miamba na majabali wenzake wa nyikan(TP Mazembe, Al Ahly, Zamalek, Esperance, Enymba, Santos etc) tena hafi kindezi bali hupambana hadi pumzi ya mwisho akijeruhiwa lakini na yeye hujeruhi na wakati mwingine kuua kabisaa kama alivowafanyia Vita FC na Nkana Red Devils.Uzuri simba nae huwa anakufa!
Huo ndio mfano ukitaka ulinganifu kati ya Wanalunyasi, Wekundu wa Msimbazi Simba SC na Wanachura FC kutokea Bonde la mpunga Jangwani