kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Mkwasa anasema aliumia kwenye mechi na biasharaDuuh!! Huyo Tarik kaumia lini kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkwasa anasema aliumia kwenye mechi na biasharaDuuh!! Huyo Tarik kaumia lini kwani?
Duuu asee Naomba tuishie hapo kwa hao wawili,ikiwa na tshishimbi mbona mikia watachekelea sana?. Ila kama unavyosema kuhusu hilo benchi,kiufundi lina matatizo, ndio mana nlisema Mkwasa anafaa kuwa kocha msaidizi na si MkuuIla benchi letu la ufundi ni la ajabu kweli sasa waliwapangia nini wakati tuna big match mbele. [emoji17][emoji17]
Nasikia na Tshishimbi pia eti naye si sehemu ya mchezo wa kesho kwani ana kadi tatu za njano. Sijui ni kweli?
Mkwasa kaongea na waandishi wa habari kamtaja Moro peke yake huenda habari ya kukosekana kwa Tshishimbi si kweli Mkuu.Duuu asee Naomba tuishie hapo kwa hao wawili,ikiwa na tshishimbi mbona mikia watachekelea sana?. Ila kama unavyosema kuhusu hilo benchi,kiufundi lina matatizo, ndio mana nlisema Mkwasa anafaa kuwa kocha msaidizi na si Mkuu
Wacha Wee.Ndala kesho tuta akikisha tunawatandika Mpaka Mnye
Tusubiri tuone huyo Kaimu Meneja mpya atakuja na yepi.Duuu asee Naomba tuishie hapo kwa hao wawili,ikiwa na tshishimbi mbona mikia watachekelea sana?. Ila kama unavyosema kuhusu hilo benchi,kiufundi lina matatizo, ndio mana nlisema Mkwasa anafaa kuwa kocha msaidizi na si Mkuu
Ni babu yako au nani alokurithisha uganga Wa kupiga ramli?Ndala kesho tuta akikisha tunawatandika Mpaka Mnye
Hapo kwa Yirpe angalau hatutakuwa na shortage ya strikers. Na mie nlitamani aanze Yirpe badala ya molingaYIKPE GNAMIEN, NIYONZIMA RUHSA KUIVAA SIMBA KESHO
Nyota watano waliosajiliwa na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo wamepata vibali na wanaweza kushiriki mchezo dhidi ya Simba hapo kesho.
Baada ya kufanikiwa kupata leseni za wachezaji wazawa, Adeyum Saleh, Tariq Seif na Ditram Nchimbi, ITC za wachezaji wa kigeni Haruna Niyonzima na Yikpe Gnamien nazo zimewasili.
Kwa maana hiyo Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa kazi itabaki kwake kuamua nani aanze.
Ukimuondoa Niyonzima ambaye aliwasili jana, wachezaji wengine wamefanya mazoezi na timu kwa angalau wiki moja au zaidi hivyo wako tayari kwa mchezo huo.
Huyo kama yuko DSM atutabirie Mvua tu haya ya mpira hayawezi.Ni babu yako au nani alokurithisha uganga Wa kupiga ramli?
Japo nawaza 🤔🤔🤔 ataweza kuwa na muunganiko na wenzake.Hapo kwa Yirpe angalau hatutakuwa na shortage ya strikers. Na mie nlitamani aanze Yirpe badala ya molinga
Zakazaka heshima yako mkuu.Kama huogopi kupinga leta kidole chako cha mwisho cha mkono mamii tuunganishe na chakwangu [emoji1787][emoji3][emoji2957]
Heri ya mwaka mpya kiongozi wangu
Siyo mbaya piaJapo nawaza [emoji848][emoji848][emoji848] ataweza kuwa na muunganiko na wenzake.
Mana hana muda mrefu kwenye timu na hajawahi kucheza mechi hata moja.
Nionavyo kwa upande wangu awekwe sub ili awe anausoma mchezo akiwa benchi.