Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Uongozi yanga wakati mwingine unashusha hadhi ya timu. Hivi haruna hadi sasa hajafika na ndo mchezaji ambae wanataka wamtegemee jumamosi na yeye ndo abebe show nzima. Walisema angefika Jana na Leo wanadai atafika Leo. Yaani wanaifanya yanga kama ndanda kwamba mchezaji anaweza akasajiliwa na akaingia kwenye kikosi moja kwa moja hata bila ya kufanya mazoezi na wenzake
Ameshafika Mkuu.

20200102_154740.jpg
 
Back
Top Bottom