Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ikawaje sasa si ndio useme ilikuwaje Mkuu. Nini kilitokea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikawaje sasa si ndio useme ilikuwaje Mkuu. Nini kilitokea?
Uwezo wa nani Mkuu?
Ni kweli,jamaa halafu hiyo ni Mara ya pili kuleta ghadhabu zake. Kuna siku mwanza pia aliwahi kuzingua hivyohivyo,anajiona anapaswa kucheza dk zote hata akichemsha. Juzi baada ya kutolewa alichukia akaamua kuondoka na bodabodaHalafu nasikia eti juzi baada ya kutolewa akaingizwa Tarik Seif nasikia Molinga aliliamsha sana dude kwa Kocha. Hivi ni ukweli au ndio stori za Mitandaoni?
Aongezage bidii akiyataka hayo yote sababu kikawaida siku zote timu inahitaji matokeo. Nje ya hapo haya ayatarajie.Ni kweli,jamaa halafu hiyo ni Mara ya pili kuleta ghadhabu zake. Kuna siku mwanza pia aliwahi kuzingua hivyohivyo,anajiona anapaswa kucheza dk zote hata akichemsha. Juzi baada ya kutolewa alichukia akaamua kuondoka na bodaboda
Zimebakia siku 2 nakukumbusha Pia Mtani. [emoji41]