Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Ni kweli kabisa kidunula1 ,Simba hua anakufa lakini sio kwa kelele za Chura bali pale anapopambana na wale wa level yake, miamba na majabali wenzake wa nyikan(TP Mazembe, Al Ahly, Zamalek, Esperance, Enymba, Santos etc) tena hafi kindezi bali hupambana hadi pumzi ya mwisho akijeruhiwa lakini na yeye hujeruhi na wakati mwingine kuua kabisaa kama alivowafanyia Vita FC na Nkana Red Devils.Uzuri simba nae huwa anakufa!
Nimekaona kakikosi kenu ka vijamamaa vya kurukaruka tuNi kweli kabisa kidunula1 ,Simba hua anakufa lakini sio kwa kelele za Chura bali pale anapopambana na wale wa level yake, miamba na majabali wenzake wa nyikan(TP Mazembe, Al Ahly, Zamalek, Esperance, Enymba, Santos etc) tena hafi kindezi bali hupambana hadi pumzi ya mwisho akijeruhiwa lakini na yeye hujeruhi na wakati mwingine kuua kabisaa kama alivowafanyia Vita FC na Nkana Red Devils.
Huo ndio mfano ukitaka ulinganifu kati ya Wanalunyasi, Wekundu wa Msimbazi Simba SC na Wanachura FC kutokea Bonde la mpunga Jangwani
Mmegundua pale hamna kocha eeh Shadeeya?Tusubiri tuone huyo Kaimu Meneja mpya atakuja na yepi.
Halafu nashangaa mwanzoni habari za kutafuta kocha mpya zilikuwa moto moto ila ghafla zimekuwa tulii.
Watutafutiage Kocha bwana.
Bahati nzuri wahenga walishamalizaga misemo yote, nikukumbushe msemo mmoja kwa leoNimekaona kakikosi kenu ka vijamamaa vya kurukaruka tu
Mbona umeguna mamii?Mmh. 🤔🤔
Ukitutajia vita na al ahly unatonesha vidonda vya wenzako vinaitwa hamsaNi kweli kabisa kidunula1 ,Simba hua anakufa lakini sio kwa kelele za Chura bali pale anapopambana na wale wa level yake, miamba na majabali wenzake wa nyikan(TP Mazembe, Al Ahly, Zamalek, Esperance, Enymba, Santos etc) tena hafi kindezi bali hupambana hadi pumzi ya mwisho akijeruhiwa lakini na yeye hujeruhi na wakati mwingine kuua kabisaa kama alivowafanyia Vita FC na Nkana Red Devils.
Huo ndio mfano ukitaka ulinganifu kati ya Wanalunyasi, Wekundu wa Msimbazi Simba SC na Wanachura FC kutokea Bonde la mpunga Jangwani
Kuishabikia Yanga ni 1wapo ya dalili za kutaka kujinyonga.YANGA KUFANYA ZIARA YA MECHI ZA KIRAFIKI NJE YA JIJI
Mashabiki wa Yanga wa nje ya jiji la Dar es salaam wamekuwa na shauku ya kuiona timu yao kwani kwa baadhi ya mikoa wanapata nafasi hiyo mara moja tu huku mikoa mingine ambayo haina timu zinazoshiriki ligi kuu wakiishia kuwaona kupitia runinga
Habari njema wakati huu ambao ligi imesimama, Yanga itafanya ziara mikoani kucheza mechi za kirafiki ambazo zitakuwa sehemu ya maandalizi ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Iringa United na ule wa watani wa jadi dhidi ya Simba
Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema baada ya wachezaji kurejea kutoka mapumziko, wataweka hadharani ratiba ya program nzima ya maandalizi
Baada ya mchezo dhidi ya KMC, wachezaji walipewa mapumziko ya siku mbili na wanatarajiwa kurejea mazoezini kesho Alhamisi
Wakazi wa mikoa ambayo haina timu zinazoshiriki ligi kuu kama Dodoma, Kigoma, Rukwa na kwingineko huenda wakapata nafasi ya kutembelewa na mabingwa hao wa kihistoria.
@Yangafulldozz
vita na al ahly kwa simba ni sawa unafanisha ukimwi na malariaNi kweli kabisa kidunula1 ,Simba hua anakufa lakini sio kwa kelele za Chura bali pale anapopambana na wale wa level yake, miamba na majabali wenzake wa nyikan(TP Mazembe, Al Ahly, Zamalek, Esperance, Enymba, Santos etc) tena hafi kindezi bali hupambana hadi pumzi ya mwisho akijeruhiwa lakini na yeye hujeruhi na wakati mwingine kuua kabisaa kama alivowafanyia Vita FC na Nkana Red Devils.
Huo ndio mfano ukitaka ulinganifu kati ya Wanalunyasi, Wekundu wa Msimbazi Simba SC na Wanachura FC kutokea Bonde la mpunga Jangwani
Bahati nzuri ile haikua mara ya kwanza kwa timu za Misri ikiwemo Ahly kufa mbele ya Simba, tangia 1974 alipokaa Mehla El Kubra hapo Shamba la bibi imekua ni kawaida ya Simba kuwafunga Waarabu kila wakanyagapo Tanzania kucheza na Lunyasivita na al ahly kwa simba ni sawa unafanisha ukimwi na malaria
Jamaa wapo level nyingine acha kujipa moyo mlisaidiwa tu na upepo wa kisulisuli acha kujimwambafy
Ndo mana mwaka huu mmechezea za uso raund ya kwanza tu chalii ndo ujue unapozungumzia miamba ya Africa nyie paka wenye manyoya bado sana mna safari ndefu
Yikpe yko bench hapoDooh hili pengo la Lamine Moro ni Kubwa japo naamini Ally Mtoni anaweza kuziba vema tu hyo nafasi. Na sijajua Yirpe kibali kimefika au la! Mana kwa mujibu Wa kocha Tariq nae ni majeruhi
Hapa yanga anapigwa si chini ya goli 3Kiburi cha Molinga vs Biashara united chamuweka nje ya kikosi cha leoView attachment 1312226
Subirini dawa iwaingieHili ni jukwaa la Wana Yanga! Huoni umepotea njia?
Mungu ibariki timu yetu ya Yanga. Kufungwa na hawa mbumbumbu fc, ni jambo lisilokubalika. Bora kupata hata sare. Nilitamani sana na Tarik Seif awepo, ila ndiyo hivyo tena.
Kwa uwingi huu wa viungo walioanza kwenye mechi hii, na hivyo kubakia na mshambuliaji mmoja tu mbele, ni kazi sana kupata ushindi, zaidi tu ya kutuliza mashambulizi ya mpinzani.
Nina imani benchi la ufundi baadae litafanya mabadiliko na hivyo kupunguza kiungo mmoja na hasa Niyonzima ambaye ameonekana hana kabisa mechi fitness.
Magoli Kama Yale anafunga Christiano RonaldoGoli la kwanza la Yanga inasemekana Kipa wa Simba kakata Shanga...