Hahahaha umetisha na Leo wangepasukaGoli la kwanza la Yanga inasemekana Kipa wa Simba kakata Shanga...
Haya sasa mnaendelea katika hayo Mashindano....mbona vita na Al ahly Wanaendelea....wewe kimekukuta nn mpaka ukawa Hauendelei?????Bahati nzuri ile haikua mara ya kwanza kwa timu za Misri ikiwemo Ahly kufa mbele ya Simba, tangia 1974 alipokaa Mehla El Kubra hapo Shamba la bibi imekua ni kawaida ya Simba kuwafunga Waarabu kila wakanyagapo Tanzania kucheza na Lunyasi
Yanga hawana historia ya kuwafunga Waarabu, si nyumbani wala ugenini, kwahiyo tusiwabeze Wekundu wa Msimbazi hata kama wanapoteza mechi zao za ugenini na hao jamaa
Mmegundua pale hamna kocha eeh Shadeeya?
Ila naona kama mnaanza kutafuta visingizio mapeeeemaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simba bila kubebwa na waamuzi ingekuwa nafasi ya Tisa huko sahzFull time 2-2! Hongereni sana wachezaji wetu kwa kupambana kiume. Kutoka 2-0 mpaka 2-2 Ft si kazi nyepesi.
Li Kagere lilishangilia kwa nyodo likifikiri mpira umekwisha! Likasahau kwamba mpira ni dk 90!
Anaweza akashindwa pia
Aaaah umeongea point sana asee*Tusimpe lawama refa hii ni January na yeye anasomesha..*[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulivyorudi uliikumbuka kweli mahali uliiacha Mtani?Simu nitaacha nymbn[emoji12]huwa sipend usumbufu muda wa mechi[emoji16]
πππππ Nakazia. πππKelele za Chura hazimzuii mnyama Simba kula nyama
Na jana wamshukuru refa kwani tungewaliza sana.Uzuri simba nae huwa anakufa!
πππ Ilibakia kiduchu tu Mkuu.Yaani hakuna Siku najiamini Kuwa tutawatandika mikia kama leo
Umefanya nikose cha kukujibu Mkuu
Bila refa hawa ni wepesi zaidi ya unyoya wa njiwaNa jana wamshukuru refa kwani tungewaliza sana.
Ila Niyonzima, Tshishimbi , Kipenseli walileta sana uhai jana aisee.Full mkoko!
Kama unajua maana ya historia huna maana ya kuisifia yanga. Historia huzungumzia mambo yaliyopita. Muhimu ni future na siyo pastHajui kwamba yanga ni mabingwa wa kihistoria