Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Bahati nzuri ile haikua mara ya kwanza kwa timu za Misri ikiwemo Ahly kufa mbele ya Simba, tangia 1974 alipokaa Mehla El Kubra hapo Shamba la bibi imekua ni kawaida ya Simba kuwafunga Waarabu kila wakanyagapo Tanzania kucheza na Lunyasi

Yanga hawana historia ya kuwafunga Waarabu, si nyumbani wala ugenini, kwahiyo tusiwabeze Wekundu wa Msimbazi hata kama wanapoteza mechi zao za ugenini na hao jamaa
Haya sasa mnaendelea katika hayo Mashindano....mbona vita na Al ahly Wanaendelea....wewe kimekukuta nn mpaka ukawa Hauendelei?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa yanga anapigwa si chini ya goli 3

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20200104-WA0014.jpg


Kwastyle hii hata 10 mnashinda
 
Back
Top Bottom