Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Full time 2-2! Hongereni sana wachezaji wetu kwa kupambana kiume. Kutoka 2-0 mpaka 2-2 Ft si kazi nyepesi.

Li Kagere lilishangilia kwa nyodo likifikiri mpira umekwisha! Likasahau kwamba mpira ni dk 90!
Na mie nakazia Hongera ziende kwa wachezaji kwani walijua kujituma sana.

Alinikera. Ila amejifunza siku ingine hatarudia. Ye alijua yangekuwa kama ya ile mechi ya marudiano msimu ulipita akapata ujiko matokeo yake imekuwa kinyume kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…