kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Ilikuwa hatari tupu hapo kati,tena kipindi cha pili hao vijana ni kama walitiwa ndimu na pilipili kwelikweli,mana vikina mkude miguu ilitepeta kama gari za udongoIla Niyonzima, Tshishimbi , Kipenseli walileta sana uhai jana aisee.