Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
NIMEKAA NIKAMUWAZA YULE MAKAME HIVI PENALTI GANI ILE ALIPIGA. π€π€π€π€
HALAFU ANATOKA PALE ANACHEKA. AISEEE.
Hahahaaaa. LolWalikuja kina Papaa Zahera Mwinyi na mbwembwe kama hizi haikusaidia kitu
Ila jamaa huyo hua hakai na timu kwa muda mrefu, mkizingua kidogo anasepa zakeHahahaaaa. Lol
Na tunamfunga kweli, au umehamia Azam siku hizi Shadeeya?πππ Wa kukimbiwa ndio nyie Mtani.ππ
Hebu mfunge Azam kwanza.
Yule alitimiza maagizo aliyopewa ya kuikimbia Simba kwahiyo asilaumiwe.NIMEKAA NIKAMUWAZA YULE MAKAME HIVI PENALTI GANI ILE ALIPIGA. π€π€π€π€
HALAFU ANATOKA PALE ANACHEKA. AISEEE.
Azam amfunge nani labda Yanga.Yah. Haya ndio maneno Mtani sababu si ajabu hata na nyie jioni mkapoteza sa sijui mtazificha wapi sura zenu baada ya kudai tumewakimbia.
Shadeeya hujambo? Habari za Unguja. Wahenga walisema kweli kua "uchawi hauvuki bahari"πππHahahaaaa. Lol
Hahahahahahahahah Nakuhakikishia YANGA hata chukua kikombe chochote msimu huu ambacho Simba tutashiriki.Hahahaa. Hapa kwa herufi kibwa sioni kombe ambalo utaeza chukua hapo.
Shika hii kauli yangu Mtani.
We unadhani tumeenda Zanzibar kushangaa magorofa ya mkoloni tumeenda kuchukua kombe over.Kwani nyie mnaenda wapi?
Mmetukimbia pia kupitia kutolewa kwa YangaMmetukimbia.
Wakati mwingine wachezaji wawe wanaadhibiwa na uongozi kwa matendo yao.NIMEKAA NIKAMUWAZA YULE MAKAME HIVI PENALTI GANI ILE ALIPIGA. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
HALAFU ANATOKA PALE ANACHEKA. AISEEE.
Kwa kauli yako hii naona taratiiibuuu na wewe unaanza kuyakimbia mashindanoMotivation yetu ya game ya leo ilikuwa kukutana na ninyi.
Mmetukimbia.
Nyorosha maelezo sasa,ni Bonge la kocha au kocha tu kama Wa Simba?Ila jamaa huyo hua hakai na timu kwa muda mrefu, mkizingua kidogo anasepa zake
Imenichukua muda kidogo kabla ya kugundua kwamba Yanga tulifanya vema kutolewa na mtibwa.
Kwanza tulijiepusha na Ku risk,kwani kwenye derby lolote linaweza tokea,japo tuna uhakika Wa kuifunga simba hata tukicheza sasa hivi hapa ninavyoandika,ila kwa sababu mpira unadunda ingetokea wakatufunga timu ingepunguza morali tuliyonayo washabiki ktk kuiamini timu yetu.
Pili,tungekuwa tumechafua image ya brand yetu kwa mashindano ambayo hayana faida kwetu
Tatu, katika mchezo huo Simba wasingekuwa na cha kupoteza manake kama biashara wao wameshafanya kwa kuchukua hela zote ktk derby ya kwanza ambapo wao walikuwa wenyeji hivyo kama tungepunguza morali ya washabiki inamaana Yanga ndio ingekuwa na hasara kawani wao biashara yao wataifanya ktk mchezo Wa marudiano.
Nne, ili mchezo Wa pili uwe na msisimko zaidi inabidi hii tension iliyopo sasa ya Nani ni Mbabe kwa mwenzake iendelee kuimarika japo nyuma ya pazia tunajua kabisa Simba hawatuwezi na tutawakong'ota hadi Manara wamwite Manyaya.
Mwisho kabisa hatuna haja ya kulalamika kutokana na timu yetu kutolewa na mtibwa kwani hii ina faida kwetu wananchi.
HALAFU!!! HIVI NI KWELI JAMES KOTEI ANAKUJA!??