Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Aiseee gari langu litasalimika kweli
?

#Mechi35goli1SuperstrikerShadeeya, post: 34091401, member: 523102
 
Mie Alhamdulillah niko salama kabisa. Nimefurahi kukuona Mtani.

Kila la kheri timu ya Wananchi.
Aisee nafurahi kukuona una matumaini ya ushindi kwa timu yako japokuwa unajua kuwa ni gari la mkaa.

#Mechi35goli1
Kila lakheri Kagera sugar
 
Nikweli Molinga anatemwa dirisha hili? Itakuwa habari njema sana
Hazijawa rasmi kwa uongozi mpaka leo ujue Mkuu. Ila huenda kaachwa mana kwenye picha za mazoezini za jana sijamwona.

Ila alitusaidia sana mechi na Polisi Tanzania. Hivyo hata akisepa ana kamchango kake Klabuni.
 
Haijalishi Mtani kikubwa awe na faida kwetu.

Hahahaa. Lol. Hebu wacha masikhara Mtani unataka uje utuuze ee?
Ila mnabalaa sana aisee
Mchezaji wenu mpya kacheza mechi 35 kafunga goli 1 la penalty.
Afadhali ya Mo Linger aiseee
 
Aisee nafurahi kukuona una matumaini ya ushindi kwa timu yako japokuwa unajua kuwa ni gari la mkaa.

#Mechi35goli1
Kila lakheri Kagera sugar
Tulikuwa gari la mkaa hapo nyuma Mtani ila si kwa sasa kwani timu iko kamili japo si kwa 100%

Kila la kheri timu ya Wananchi.
 
Kikosi cha @yangasc
dhidi ya @kagerasugarfc1
1. Farouk Shakalo
2. Paulo Godfrey
3. Adeyum Saleh
4. Lamine Moro
5. Kelvin Yondani
6. Abdulazizi Makame
7. Mapinduzi Balama
8. Mohamed Banka
9. Ditram Nchimbi
10. Haruna Niyonzima

11. Patrick Sibomana
 
Hazijawa rasmi kwa uongozi mpaka leo ujue Mkuu. Ila huenda kaachwa mana kwenye picha za mazoezini za jana sijamwona.

Ila alitusaidia sana mechi na Polisi Tanzania. Hivyo hata akisepa ana kamchango kake Klabuni.
Nikweli ni mchezaji mwenye touch nzuri ila mwili unamnyima vitu vingi,maana unyumbulifu hana.......
 
Kikosi cha @yangasc
dhidi ya @kagerasugarfc1
1. Farouk Shakalo
2. Paulo Godfrey
3. Adeyum Saleh
4. Lamine Moro
5. Kelvin Yondani
6. Abdulazizi Makame
7. Mapinduzi Balama
8. Mohamed Banka
9. Ditram Nchimbi
10. Haruna Niyonzima

11. Patrick Sibomana
Nipo hapa Uwanjani nione kocha mpya na mbinu zake zikoje? Ila kikosi hiki ushindi ni uhakika
 
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI

MPIRA NDIO UNAKARIBIA KUANZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…