Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Wakati utaongeaHahahaaa. Sisi ndio tukaruke ruke Mtani?
Karibu uje uiangalie timu ya Wanachi ikitoa dozi kama kawaida. í ½í¸
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati utaongeaHahahaaa. Sisi ndio tukaruke ruke Mtani?
Karibu uje uiangalie timu ya Wanachi ikitoa dozi kama kawaida. í ½í¸
Aiseee gari langu litasalimika kweli
Amepitia vilabu vya
1.DC Motema Pembe DRC 2018-
2.Orlando Pirates SA 2016-2018
3.AS Vita DRC 2015-2016
4.Ashanti Gold FC Ghana 2013-2015
5.Hearts of Lions 2010-2013
Bernard Morrison kutoka Ghana Rasmi ni Mwananchi.
@YangaSc.
Kwanza nini kilikuficha hivyo Mtani. Au ndio january 04? 😜😜Aiseee gari langu litasalimika kweli
?
#Mechi35goli1SuperstrikerShadeeya, post: 34091401, member: 523102
Hahahaa. Litasalimika kiaje sasa Mtani?Aiseee gari langu litasalimika kweli
?
#Mechi35goli1SuperstrikerShadeeya, post: 34091401, member: 523102
Hamna Mtani niliamua niwe Invisible kwa muda, vipi lakini uko poa?Kwanza nini kilikuficha hivyo Mtani. Au ndio january 04? 😜😜
Si mmesajili mwizi wa magari au hujui hilo Mtani?Hahahaa. Litasalimika kiaje sasa Mtani?
Mie Alhamdulillah niko salama kabisa. Nimefurahi kukuona Mtani.Hamna Mtani niliamua niwe Invisible kwa muda, vipi lakini uko poa?
Kila lakheri Kagera sugar
Haijalishi Mtani kikubwa awe na faida kwetu.Si mmesajili mwizi wa magari au hujui hilo Mtani?
#Mechi35goli1
Bora mngenisajili mimi Mtani
Aisee nafurahi kukuona una matumaini ya ushindi kwa timu yako japokuwa unajua kuwa ni gari la mkaa.Mie Alhamdulillah niko salama kabisa. Nimefurahi kukuona Mtani.
Kila la kheri timu ya Wananchi.
Hazijawa rasmi kwa uongozi mpaka leo ujue Mkuu. Ila huenda kaachwa mana kwenye picha za mazoezini za jana sijamwona.Nikweli Molinga anatemwa dirisha hili? Itakuwa habari njema sana
Ila mnabalaa sana aiseeHaijalishi Mtani kikubwa awe na faida kwetu.
Hahahaa. Lol. Hebu wacha masikhara Mtani unataka uje utuuze ee?
Tulikuwa gari la mkaa hapo nyuma Mtani ila si kwa sasa kwani timu iko kamili japo si kwa 100%Aisee nafurahi kukuona una matumaini ya ushindi kwa timu yako japokuwa unajua kuwa ni gari la mkaa.
#Mechi35goli1
Kila lakheri Kagera sugar
Hebu tuwache Mtani. 💃💃💃Ila mnabalaa sana aisee
Mchezaji wenu mpya kacheza mechi 35 kafunga goli 1 la penalty.
Afadhali ya Mo Linger aiseee
Nikweli ni mchezaji mwenye touch nzuri ila mwili unamnyima vitu vingi,maana unyumbulifu hana.......Hazijawa rasmi kwa uongozi mpaka leo ujue Mkuu. Ila huenda kaachwa mana kwenye picha za mazoezini za jana sijamwona.
Ila alitusaidia sana mechi na Polisi Tanzania. Hivyo hata akisepa ana kamchango kake Klabuni.
Nipo hapa Uwanjani nione kocha mpya na mbinu zake zikoje? Ila kikosi hiki ushindi ni uhakikaKikosi cha @yangasc
dhidi ya @kagerasugarfc1
1. Farouk Shakalo
2. Paulo Godfrey
3. Adeyum Saleh
4. Lamine Moro
5. Kelvin Yondani
6. Abdulazizi Makame
7. Mapinduzi Balama
8. Mohamed Banka
9. Ditram Nchimbi
10. Haruna Niyonzima
11. Patrick Sibomana
Tupate ushindi aisee angalau tusogee sogee.Nipo hapa Uwanjani nione kocha mpya na mbinu zake zikoje? Ila kikosi hiki ushindi ni uhakika