Naona miwa ni mitamu kwa upande wakoMmmh.
Hahahaaa. Mtani naona wenzio wamefufuka lol.Hamna tukikaza tunashinda tu muda bado upo sana.
Kila lakheri Yanga (kwa hisani ya Shadeeya)
Mpira ni 90 mins lakini.
Mtani umefanya na mie nicheke japo nina hasira hapa.HAHAHAHAHAHAHAHAH
Hebu huko na wewe. Baba ni nani sasa? πBaba akifa kwa ukimwi Mama anaponaje sasa
Mpira dkk 90. πWazee wa kupindua meza pindueni na hii sasa.
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah.Hebu huko na wewe. Baba ni nani sasa? π
Hii kali. Lol.KAGERA SUGAR I LOVE YOU