Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona miwa ni mitamu kwa upande wakoMmmh.
Hahahaaa. Mtani naona wenzio wamefufuka lol.Hamna tukikaza tunashinda tu muda bado upo sana.
Kila lakheri Yanga (kwa hisani ya Shadeeya)
Mpira ni 90 mins lakini.
Mtani umefanya na mie nicheke japo nina hasira hapa.HAHAHAHAHAHAHAHAH
Hebu huko na wewe. Baba ni nani sasa? 😎Baba akifa kwa ukimwi Mama anaponaje sasa
Mpira dkk 90. 😎Wazee wa kupindua meza pindueni na hii sasa.
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah.Hebu huko na wewe. Baba ni nani sasa? 😎
Hii kali. Lol.KAGERA SUGAR I LOVE YOU