WachaaaRaha sanaaa
Leo leo sijui nile nini kwa raha walionipa wana kurukumbi.Wachaaa
Miwa ya Kagera ni mizuri,mitamu na mikubwa zaidiDah, pole timu yangu Yanga basi Simba wamefurahia tuko sare sare kwenye kupigwa[emoji849] hizi timu vipi Mtibwa Sugar, Kagera sugar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo Sasa umeongea ila bora mmefungwa mlichonga sana nyieSijakataa mbona Mtani lakini huenda tungekuwa kamili hata goli zisingekuwa nyingi kiasi iko.
Haswaaa. Shida ni kupokezana MkuuHakika Mkuu.
Ila ikifikia huko sisi tutakuwepo kuwajazia patakapopungua. 😜 Teh teh
Hivi huwa tunachonga eee?
HahahahahahahahaYaani ungekuwa karibu Mtani kwa kauli hii na nilivyo bonge 😜 ningekusukuma na huko mana unafujo mbaya. 😀😀
Mna mdomo sana nyie...mlitusumbua sana wiki hzi mbiliHivi huwa tunachonga eee?
Hahahaaa. Ndio utani wa jadi Mtani.
Hahaha Dah ndio hivyo mtani kutesa kwa zamuHahahaaa. Ndio utani wa jadi Mtani.
Kikubwa muzowee tu.
Aonjae Miwa kwa mara moja hatosimamaaa, kuwapa watoto vitu vitamu kuwalishiaaaa. Uchungu si wakooo tum tum tum tum tum tum kumfwata nyumaaa tum tum tum tum tum tum kule papatikooo tum tum tum tum tum tumHivi huwa tunachonga eee?
Hakika. Leo kwangu kesho kwako Mtani. 😎😎
LolHahahahahahahaha
Kicheko hiki ni kwa hisani ya MIWA
Ni mbao mtani usituchanganyie habariNi Alliance Mtani. Pale mchekea.