Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Official kutoka @yangasc
Klabu ya yanga SC imetangaza wachezaji iliyo waacha na iliyo wasajili kwenye dirisha dogo la usajili Lililofungwa rasmi usiku wa jana. .
.
โ—ผWALIOACHWA
1-Juma Balinya
2-Sadney Urikhob
3-Issa Bigirimana
4-Mustapha Seleman
5-Maybin Kalengo
6-David Molinga.
.
โ—ผWALIOSAJILIWA
1-Haruna Niyonzima
2-Yikpe Gnamien
3-Ditram Nchimbi
4-Tariq Seif Kiakala
5-Adeyun Saleh
6-Bernard Morrison
.
โ—ผWALIOTOLEWA KWA MKOPO.
1-Saad Kassim-LIPULI FC
2-Said Mussa Bakari-LIPULI FC
3-Cleofas Sospeter-SINGIDA United.
4-Mwarami Issa-SINGIDA United.

Heri ya Mwaka Mpya Mtani
 
Ses naaona jana mmefukia kaburi la Mtibwa.
Yule muhamasishaji wenu si alisema yale ya Zanzibar ni mashindano madogomadogo? Hebu tuyafute ya Mapinduzi, sote tumerudi kwenye mashindano makubwa ya TPL na matokeo yake ndio kama hivyo, nyie mmelewa sukari sisi tumechana mbao na kuikatakata tayari kwa kutengenezea fenicha
 
Uongozi wa klabu ya Yanga umemrejesha kikosini mshambuliaji wake Mcongomani David Molinga

Jana Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli alimtaja Molinga miongoni mwa wachezaji sita walioachwa

Hata hivyo nyota huyo aliyeifungia Yanga mabao manne kwenye ligi, amerejea leo na jioni ameshiriki mazoezi

Imefahamika kuwa Yanga imemrejesha Molinga baada ya kuachana na mpango wa kumsajili Owe Bonyanga nae kutoka DR Congo
 
Mnatapatapa sana ujue๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Back
Top Bottom