Duuh. Na nyimbo juu. LolAonjae Miwa kwa mara moja hatosimamaaa, kuwapa watoto vitu vitamu kuwalishiaaaa. Uchungu si wakooo tum tum tum tum tum tum kumfwata nyumaaa tum tum tum tum tum tum kule papatikooo tum tum tum tum tum tum
Shadeeya niendeleee Hahahahahahahahahahaha
Basi sawa Mtani ngoja nikajipatie juice ya Miwa mtaa wa pili[emoji41][emoji41][emoji39]Hakika. Leo kwangu kesho kwako Mtani. [emoji41][emoji41]
Wenge hilo Mtani. ππ
Kanywe tu Mtani mana hata na mie jumatatu nliinywa. πBasi sawa Mtani ngoja nikajipatie juice ya Miwa mtaa wa pili[emoji41][emoji41][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Pumzika sasa na usisahau kunywa maji mengi[emoji1787][emoji1787]Wenge hilo Mtani. [emoji3][emoji3]
Hahaha dah nimependa jibu lako...Kanywe tu Mtani mana hata na mie jumatatu nliinywa. [emoji41]
ππ
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kagera Wana Roho Mbaya Wanamla Yebo kimasihara pale pale kwao
Wakubwa hupeana imani, siyo kukatushana tamaa.Simba hhuyo alikuwa ananichora tu hapo.
Ndiyo maana siku zote mimi huwa nasemaga wakubwa tusichekane bali tupeane pole yakitufika kwani hayana mwenyewe wala aliye mzoefu.Kikawaida hiyo haizuiliki hata kidogo Mtani. Ndio sababu hata na nyie leo muna raha huko mliko ile hali hamuijui kesho yenu.
Tuzoweanage tu.
Wanaona inawafaa wa upande fulani, kwao ni kuharibu mpira/mchezo.sasa red card inatuhusu nini sisi?
Rudisha kumbukumbu kwanza.Dah, pole timu yangu Yanga basi Simba wamefurahia tuko sare sare kwenye kupigwa[emoji849] hizi timu vipi Mtibwa Sugar, Kagera sugar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine mjifunze sasa sio kina mwafulani hapo mngekuwa mnazomea tu. Wakati mpira una matokeo matatu.
Kuchekana haizuiliki Mkuu. Ndio sababu kuna mtu katuanzishia uzi huko na humo ndani karibia wote wanafurahia.Ndiyo maana siku zote mimi huwa nasemaga wakubwa tusichekane bali tupeane pole yakitufika kwani hayana mwenyewe wala aliye mzoefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha..... heheheheeee.... hihihihiii.... dahKuchekana haizuiliki Mkuu. Ndio sababu kuna mtu katuanzishia uzi huko na humo ndani karibia wote wanafurahia.
Yanga SC yapokea kichapo cha mbwa koko kutoka Kagera Sugar
Kucheka kupokezana bwana [emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
Hahahahaha..... heheheheeee.... hihihihiii.... dah
Ngoja nizimue kwanza.... hohohoo... huhuhuuuu
Narudi kitandani kulala
πππ Na uzee huo unataka kuzimua nini sa? ππππHahahahaha..... heheheheeee.... hihihihiii.... dah
Ngoja nizimue kwanza.... hohohoo... huhuhuuuu
Narudi kitandani kulala