Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Aonjae Miwa kwa mara moja hatosimamaaa, kuwapa watoto vitu vitamu kuwalishiaaaa. Uchungu si wakooo tum tum tum tum tum tum kumfwata nyumaaa tum tum tum tum tum tum kule papatikooo tum tum tum tum tum tum

Shadeeya niendeleee Hahahahahahahahahahaha
Duuh. Na nyimbo juu. Lol

Ishia hapo hapo sababu usije ukaendelea ukamtaja na Mtibwa bure.
 
Ndiyo maana siku zote mimi huwa nasemaga wakubwa tusichekane bali tupeane pole yakitufika kwani hayana mwenyewe wala aliye mzoefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchekana haizuiliki Mkuu. Ndio sababu kuna mtu katuanzishia uzi huko na humo ndani karibia wote wanafurahia.

Kuchekana haizuiliki Mkuu. Ndio sababu kuna mtu katuanzishia uzi huko na humo ndani karibia wote wanafurahia.

Hahahahaha..... heheheheeee.... hihihihiii.... dah

Ngoja nizimue kwanza.... hohohoo... huhuhuuuu

Narudi kitandani kulala
 
Back
Top Bottom