Juisi ya miwa ya Kageraπππ Na uzee huo unataka kuzimua nini sa? ππππ
Official kutoka @yangasc
Klabu ya yanga SC imetangaza wachezaji iliyo waacha na iliyo wasajili kwenye dirisha dogo la usajili Lililofungwa rasmi usiku wa jana. .
.
βΌWALIOACHWA
1-Juma Balinya
2-Sadney Urikhob
3-Issa Bigirimana
4-Mustapha Seleman
5-Maybin Kalengo
6-David Molinga.
.
βΌWALIOSAJILIWA
1-Haruna Niyonzima
2-Yikpe Gnamien
3-Ditram Nchimbi
4-Tariq Seif Kiakala
5-Adeyun Saleh
6-Bernard Morrison
.
βΌWALIOTOLEWA KWA MKOPO.
1-Saad Kassim-LIPULI FC
2-Said Mussa Bakari-LIPULI FC
3-Cleofas Sospeter-SINGIDA United.
4-Mwarami Issa-SINGIDA United.
cc Shadeeya π€£π€£π€£Mbao / Yanga 1 vs Simba 2
cc Shadeeya π€£π€£π€£
ππππJuisi ya miwa ya Kagera
Nimeipokea Mtani. Uko mzima?Heri ya Mwaka Mpya Mtani
Daah!! Ila Mtani si kwa tambo hizi. LolMbao / Yanga 1 vs Simba 2
Hii mbona tumekunywa wote Mtani?Yuko bize na juice miwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mbona tumekunywa wote Mtani?
Yule muhamasishaji wenu si alisema yale ya Zanzibar ni mashindano madogomadogo? Hebu tuyafute ya Mapinduzi, sote tumerudi kwenye mashindano makubwa ya TPL na matokeo yake ndio kama hivyo, nyie mmelewa sukari sisi tumechana mbao na kuikatakata tayari kwa kutengenezea fenichaSes naaona jana mmefukia kaburi la Mtibwa.
Kumbe eee!!Sisi tumekunywa tukiwa ugenini[emoji16]
Haya bana Ses.Yule muhamasishaji wenu si alisema yale ya Zanzibar ni mashindano madogomadogo? Hebu tuyafute ya Mapinduzi, sote tumerudi kwenye mashindano makubwa ya TPL na matokeo yake ndio kama hivyo, nyie mmelewa sukari sisi tumechana mbao na kuikatakata tayari kwa kutengenezea fenicha
Pole sana kwa maumivu Shadeeya, itabidi uzowee tu maana hakuna namna. Juzi mmepigwa 3-0, jana nayo tumewapiga 2-1, amakweli soka wakati mwengine haina huruma kabisaHaya bana Ses.
Nshapoa Ses. Ndio mpira huo.πP
Pole sana kwa maumivu Shadeeya, itabidi uzowee tu maana hakuna namna. Juzi mmepigwa 3-0, jana nayo tumewapiga 2-1, amakweli soka wakati mwengine haina huruma kabisa
Mnatapatapa sana ujueπππUongozi wa klabu ya Yanga umemrejesha kikosini mshambuliaji wake Mcongomani David Molinga
Jana Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli alimtaja Molinga miongoni mwa wachezaji sita walioachwa
Hata hivyo nyota huyo aliyeifungia Yanga mabao manne kwenye ligi, amerejea leo na jioni ameshiriki mazoezi
Imefahamika kuwa Yanga imemrejesha Molinga baada ya kuachana na mpango wa kumsajili Owe Bonyanga nae kutoka DR Congo
Hebu tuwache ses. πππMnatapatapa sana ujueπππ