Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Leo Yanga tutaambulia point 1 tu au kukosa kabisa, kwa sababu sisi hatutaki kucheza mpira tunachotaka ni kulalamika tu.
Tucheze mpira wana Yanga wenzangu haya malalamiko hayatatufikisha popote.

Yanga mbele mwiko daima nyuma.
Hahahahaa. Lol.

Mtani huwa nasemaga sikuzote chepesi kutabiri ni mvua tu. 🀣🀣
 
Timu inaburudisha sasa sio ile ya Zahera.

Yaani unaangalia mpira Timu ya Wananchi huku moyo ukiwa na amani kabisa.

Mipango ya goli inaonekana, ilikuwa n swala la muda tu nyavu za mtibwa kutingishika

Luc n kocha bora kawabadilisha sana wachezaj ndan ya kipind kifupi tuh


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mipango ya goli inaonekana, ilikuwa n swala la muda tu nyavu za mtibwa kutingishika

Luc n kocha bora kawabadilisha sana wachezaj ndan ya kipind kifupi tuh


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakika Mkuu.

Pia mashabiki tulijitahidi kuwa wavumilivu mana Luc alikuja na gundu tukapoteza mechi mbili ile ya Azam na Kagera ambapo upande wa pili walianza kumbeza kumbe lilikuwa swala la muda tu.

Nina imani tutazidi kufanya vizuri zaidi huko mbeleni na pia yabidi nguvu zaidi tuzihamishie kwenye FA ili kuzidi kujihakikishua kucheza kimataifa mwakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…