Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ahsante. Kuna maisha mengine nje ya Jf ujue. 😎😎😎
Ushakunywa chai Shadeeya? Karibu sana tunywe chai kuondoa hasira na uchovu, maana hizi mechi za usiku bana saa zingine goli halionekani tunaishia kumlenga kipa au kupaisha mpira njeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ushakunywa chai Shadeeya? Karibu sana tunywe chai kuondoa hasira na uchovu, maana hizi mechi za usiku bana saa zingine goli halionekani tunaishia kumlenga kipa au kupaisha mpira njeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Uwiii!! Hata sina hamu na hiyo chai hapa. 😎😎😎😎

Kukosa penalti mbona kawaida hiyo na ndio sababu kuna wengine waliikosa mchana kweupe.

#Johnbokoadebayo
 
Uwiii!! Hata sina hamu na hiyo chai hapa. 😎😎😎😎

Kukosa penalti mbona kawaida hiyo na ndio sababu kuna wengine waliikosa mchana kweupe.

#Johnbokoadebayo
Hahahaaaa, nimekubali mamii, kweli kukosa penati ni jambo la kawaida kama ilivo kukosa kuondoka na point tatu na hatimaye kuukosa ubingwa

Hebu sahau hiyo penati iliyoota mbawa yashapita hayo, jinywee chai yako maisha yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…