Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Pole maana msipopata ushindi na simu inaisha chajiDonnie Charlie kulikoni Mkuu? 😔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole maana msipopata ushindi na simu inaisha chajiDonnie Charlie kulikoni Mkuu? 😔
Kwa uzuri si mazuri ila kwa kuwa ndio yaliyopatikana hamna jinsi hapo.Mimi naona kama mazuri au macho yangu jamaani[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante. Kuna maisha mengine nje ya Jf ujue. 😎😎😎Pole maana msipopata ushindi na simu inaisha chaji
Ushakunywa chai Shadeeya? Karibu sana tunywe chai kuondoa hasira na uchovu, maana hizi mechi za usiku bana saa zingine goli halionekani tunaishia kumlenga kipa au kupaisha mpira nje😀😀😀Ahsante. Kuna maisha mengine nje ya Jf ujue. 😎😎😎
Uwiii!! Hata sina hamu na hiyo chai hapa. 😎😎😎😎Ushakunywa chai Shadeeya? Karibu sana tunywe chai kuondoa hasira na uchovu, maana hizi mechi za usiku bana saa zingine goli halionekani tunaishia kumlenga kipa au kupaisha mpira nje😀😀😀
Hahahaaaa, nimekubali mamii, kweli kukosa penati ni jambo la kawaida kama ilivo kukosa kuondoka na point tatu na hatimaye kuukosa ubingwaUwiii!! Hata sina hamu na hiyo chai hapa. 😎😎😎😎
Kukosa penalti mbona kawaida hiyo na ndio sababu kuna wengine waliikosa mchana kweupe.
#Johnbokoadebayo
Ahsante. Kuna maisha mengine nje ya Jf ujue. 😎😎😎
Na zaidi ni katika kipindi hiki ambacho droo zimefuatanaAhsante. Kuna maisha mengine nje ya Jf ujue. 😎😎😎
Timu ipi hyo? Kama ni hii yanga hauko sahihi
Let's b positive, timu yetu ilicheza vema. Tena ukizingatia tulicheza na prison ambao ni miongoni mwa timu bora kabisa hapa nyumbaniHaya ndio matokeo yetu ya jana.
Uchezaji wa Yikpe nao uliuelewa Mkuu?Let's b positive, timu yetu ilicheza vema. Tena ukizingatia tulicheza na prison ambao ni miongoni mwa timu bora kabisa hapa nyumbani