Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mkuu kyata

Nakubaliana na wewe tena kama huyo Nugaz tusipopata matokeo huwa neno lake kubwa eti tunatengeneza brand mmxieeew brand gani hiyo wakati sisi mashabiki tunahitaji matokeo.

Itakuwa wanaona raha tunavyochekwa kila kona.

Kuhusu huyo Yikpe lile ni jipu na hata Nchimbi mwenyewe namuona kichefu chefu tu naye.

 
S
Tatizo nyie wazee wa Miamala sana.

Kwa gape hiyo mnadhani mwaeza achia tupate ubingwa kirahisi lazima tu wapewaji wa Ist πŸ˜›waongezeke mana tumeshawapa matumaini makubwa.
Hivi hizo "sare" za harusi hazijatimia kwani Shadeeya🀣🀣🀣?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…