Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema ukweli timu yetu inasikitisha sana, yaani kila match ni kama wanaenda uwanjani kukamilisha ratiba tu. Morali ya wachezaji wote hiko chini mno, nadhani kuna tatizo somewhere si Bure na viongozi wapo tu wala hakuna juhudi zozote za kujikwamua, kazi ni kina Nugaz kujimwambafy tu kwenye vyombo vya habari eti wape salaam, na salaam tumezipata kweli. USHAURI: Viongozi na bench LA ufundi mjitafakari, ninahisi viatu hivi vimewapwaya. Huyo NUGAZ aache mbwembwe na tambo za mitandaoni anajichoresha tu. Mnabowa sana, nakaribisha wa kunikosoa kakini huo ndiyo ukweli. Halafu hivi aliyemsajili Yikpe ni nani? Mungu anakuona aisee, hivi mlikosa washambuliaji hadi Yikpe anatufaa? Mbona kuna vijana wa hapahapa tu na ni wazuri tuu ambao tungewapata hata kwa gharama ndogo tu na matokeo tungepataa? Yanga tunakwama wapi?
Na hao Gwambina watakuja moto wakitumia udhaifu wetu wa kutoka sare sare na si ajabu wakatuduwaza na wao.Kwa mchezo tunaocheza, nawaambia ndugu zangu tujiandae kisaikolojia, Gwambina fc anatutoa kwenye FA cup, mark my word.
We nae. Hebu tuwache. 😉Sare fc swalamaaaa+
Hii ni football mtani, lolote linawezekana. La msingi mkaze tuKWA HALI HII ETI MTU ANAKWAMBIA TUNAEZA PATA UBINGWA LOL.
Tatizo nyie wazee wa Miamala sana.
Hivi hizo "sare" za harusi hazijatimia kwani Shadeeya🤣🤣🤣?Tatizo nyie wazee wa Miamala sana.
Kwa gape hiyo mnadhani mwaeza achia tupate ubingwa kirahisi lazima tu wapewaji wa Ist 😛waongezeke mana tumeshawapa matumaini makubwa.
Hebu niache Ses. 💃S
Hivi hizo "sare" za harusi hazijatimia kwani Shadeeya🤣🤣🤣?
S
Hivi hizo "sare" za harusi hazijatimia kwani Shadeeya🤣🤣🤣?
Mwaka gani huo sare za Simba!? Aaaah bana Shadeeya hapo umecheza faulo ya kadi nyekundundu ujue🤣🤣🤣HIZI NAZO TUZIITEJE Ses?
Hahahaaa. Ndio ujue kila tukifanyacho kilishawahi kufanywa kabla.Mwaka huo
Mwaka gani huo sare za Simba!? Aaaah bana Shadeeya hapo umecheza faulo ya kadi nyekundundu ujue🤣🤣🤣
WamesahauhawaHIZI NAZO TUZIITEJE Ses?
Yaani hatuna jinsi Mkuu. Japo mi naona hii timu yetu inanivuruga tu hapa.Acha ituue tuðŸ˜
Umesahau eeh? Zilikuwa 7 mfululizoMwaka huo
Mwaka gani huo sare za Simba!? Aaaah bana Shadeeya hapo umecheza faulo ya kadi nyekundundu ujue🤣🤣🤣
Kama huwezi kushindana nao, jiunge nao. ShadeeyaYaani hatuna jinsi Mkuu. Japo mi naona hii timu yetu inanivuruga tu hapa.
Mnashangaa droooo nne kumbe na nyie mshawahi kuzitengeneza sita. Lol.Mwaka huo
Mwaka gani huo sare za Simba!? Aaaah bana Shadeeya hapo umecheza faulo ya kadi nyekundundu ujue🤣🤣🤣
Kabisa yaani daah acha kabisa......Yaani hatuna jinsi Mkuu. Japo mi naona hii timu yetu inanivuruga tu hapa.