Tupotupo sana tu hukoMnakufa asubuhi mapemaaa, kabda ya
Umri wa mtu huo mkuu
Nne nadhani. πππ
Daaah, hongereni aisee na Mimi nawezwa fundishwa kwa mhindi?Saafi sana Mtani. Karibu tena.
Sie tupo tunajenga kwa Muhindi sitiresi zikizidi tunakuja kuzipunguza JF.
Hamna kitu kama hicho. Nakwambia matokeo tutapata.Mnakufa asubuhi mapemaaa, kabda ya
Umri wa mtu huo mkuu
Imepita misimu kibao tangia wakati huoπππWachaaaa!!!
Basi tuzitoe, piga hesabu hapo.Nne nadhani. [emoji41][emoji41][emoji41]
Hakika Mkuu tuelekeze nguvu kule walau tucheze hiyo Shirikisho.Lazima wafanye kila linalowezekana angalau huko ndiyo iwe mkombozi wetu
Machungu ya 2014 hayapo tena, kwani nyie bado zile goli tano za kina Okwi zinawauma? Si mlishsponaga machungu?Walahi vile umejua kunichekesha au ndio ile kwamba kun*a any* kuku aki*n*a bata kaharis*a.
Yapo haya mambo Ses.
Wanajua sana hilo jamboHakika Mkuu tuelekeze nguvu kule walau tucheze hiyo Shirikisho.
Pia wanatakiwa wajue mashabiki ndio tunaumia sana wakiwa wanafanya mauza uza yao Uwanjani. Japo kuna siku nilimsikia Nugaz anasema maumivu tunayoyapata ni robo ya yakwao nikasema lol
Ahsante Mtani.
Naweza nikawa mmoja ya watu wanaojua kutabiri mana wakati nimeshapost nikawa nawaza kwamba utauliza hiki ulichokiuliza. Lol.
Nakazia hapa. Bado Tupo tupo FA.Tupotupo sana tu huko
Eti eee!!Machungu ya 2014 hayapo tena, kwani nyie bado zile goli tano za kina Okwi zinawauma? Si mlishsponaga machungu?
Bora waturudishiehata bakuli tuiwezeshe timu kubeba FANakazia hapa. Bado Tupo tupo FA.
π π π Ukisema hivyo hampaswi hata kutamba basi eti kwamba mlifika quarter final Champions League.Imepita misimu kibao tangia wakati huoπππ
Huyu sijui katumwaEti eee!!
Habari gani sasa hizi unaleta? ππ
Tusiandikie mate na wino ungalipo, tusubiri tuoneπHamna kitu kama hicho. Nakwambia matokeo tutapata.
Ni juzi tu hapo hata mtoto mdogo anakumbukaπ π π Ukisema hivyo hampaswi hata kutamba basi eti kwamba mlifika quarter final Champions League.
Au mwaka juzi ni karibu? π
Pole sana mamii, kumbe kidonda bado kibichiiiπππEti eee!!
Habari gani sasa hizi unaleta? ππ