Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Lazima wafanye kila linalowezekana angalau huko ndiyo iwe mkombozi wetu
Hakika Mkuu tuelekeze nguvu kule walau tucheze hiyo Shirikisho.

Pia wanatakiwa wajue mashabiki ndio tunaumia sana wakiwa wanafanya mauza uza yao Uwanjani. Japo kuna siku nilimsikia Nugaz anasema maumivu tunayoyapata ni robo ya yakwao nikasema lol
 
Wanajua sana hilo jambo
 
Back
Top Bottom