NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Muda si mrefu wataanza kusema anarogwaHakika japo Mkwasa amesema eti tumpe muda sasa najiuliza muda huo apewe mpaka lini wakati ligi inaelekea mwisho mwisho hii.
Mana anadai mazoezini yupo vizuri ila akija Uwanjani hamna kitu.
Huyu Nugaz kwanza hajui kitu kuhusu mpira kuna wakati huwa akiongea hadi Mimi naona aibu. Nadhani GSM wamemuweka kwa ajili yao binafsi na si Yanga na ndio maana kila anapoitaja Yanga lazima aitaje na GSMMkuu kyata
Nakubaliana na wewe tena kama huyo Nugaz tusipopata matokeo huwa neno lake kubwa eti tunatengeneza brand mmxieeew brand gani hiyo wakati sisi mashabiki tunahitaji matokeo.
Itakuwa wanaona raha tunavyochekwa kila kona.
Kuhusu huyo Yikpe lile ni jipu na hata Nchimbi mwenyewe namuona kichefu chefu tu naye.
Eric kabamba ni mzambia yeye anacheza Mara mbili tu kwenye game na Singida na polisi pia. Aliingia dakika za mwisho sana ktk hizo mechi zote mbiliKabamba yupi mana kuna Erick na Tshishimbi?
Naona nyie stand aliwatoa ngozi
Shadeeya hujambo? Usijekuta bado hujajua matokeo maana hukutaka hata kufatilia gemu lenu na wale watoto Gwambino. Kwa taarifa yako ni kwamba mmepata ushindi mwembamba sana wa bao moja tena la mbinde!!! Waweza jitokeza hadharani sasa pressure hakuna tena🤣🤣🤣Kama yangu itakavyoisha muda sio mrefu. 🤣🤣🤣
Mtani umejitahidi ila baada ya goli tu ukatokomea. Lol.
Hahahaaa. Lol.
Mungu mkubwa haikutokea Mtani japo niliangalia mpira kwa presha sana yaani mana nilihisi litakombolewa. 😀😀😀Aiseee jiandae kwa presha Shadeeya, kila nikiangalia naziona penalty kabisa.
Mbona hujasema Yanga na simba. 😅😅Mara paap hatua inayofuata Azam vs Yanga [emoji276][emoji276][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah!! Mie najisemea Ligi iishe kipindi cha usajili kianze uongozi utafute washambuliaji wa kueleweka.Muda si mrefu wataanza kusema anarogwa
Naona leo mmekuwa wadoogo hamna zile maneno zetu za kuudhi. LolShadeeya hujambo? Usijekuta bado hujajua matokeo maana hukutaka hata kufatilia gemu lenu na wale watoto Gwambino. Kwa taarifa yako ni kwamba mmepata ushindi mwembamba sana wa bao moja tena la mbinde!!! Waweza jitokeza hadharani sasa pressure hakuna tena🤣🤣🤣
Haya bana lakini usifurahi sana maana kwa jinsi nionavyo safari yenu kwenye FA ni fupi sana😀😀😀Hahahaaa!! Wadhani nilikimbia basi hamna muda ule nilikuwa busy na mambo mengine.
Wale watoto ilibaki kidogo tu wawalambishe mchangaNaona leo mmekuwa wadoogo hamna zile maneno zetu za kuudhi. Lol