Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hakika japo Mkwasa amesema eti tumpe muda sasa najiuliza muda huo apewe mpaka lini wakati ligi inaelekea mwisho mwisho hii.

Mana anadai mazoezini yupo vizuri ila akija Uwanjani hamna kitu.
Muda si mrefu wataanza kusema anarogwa
 
Mkuu kyata

Nakubaliana na wewe tena kama huyo Nugaz tusipopata matokeo huwa neno lake kubwa eti tunatengeneza brand mmxieeew brand gani hiyo wakati sisi mashabiki tunahitaji matokeo.

Itakuwa wanaona raha tunavyochekwa kila kona.

Kuhusu huyo Yikpe lile ni jipu na hata Nchimbi mwenyewe namuona kichefu chefu tu naye.
Huyu Nugaz kwanza hajui kitu kuhusu mpira kuna wakati huwa akiongea hadi Mimi naona aibu. Nadhani GSM wamemuweka kwa ajili yao binafsi na si Yanga na ndio maana kila anapoitaja Yanga lazima aitaje na GSM
 
Kama yangu itakavyoisha muda sio mrefu. 🤣🤣🤣
Shadeeya hujambo? Usijekuta bado hujajua matokeo maana hukutaka hata kufatilia gemu lenu na wale watoto Gwambino. Kwa taarifa yako ni kwamba mmepata ushindi mwembamba sana wa bao moja tena la mbinde!!! Waweza jitokeza hadharani sasa pressure hakuna tena🤣🤣🤣
 
Naona leo mmekuwa wadoogo hamna zile maneno zetu za kuudhi. Lol
 
Back
Top Bottom