Ikiwa Gwambina ni watoto Stand United tutawaitaje eti?Wale watoto ilibaki kidogo tu wawalambishe mchanga
Ningesema hivyo ungeuza simu kabisa na kuhamia kule simiyu ndanindaniMbona hujasema Yanga na simba. [emoji28][emoji28]
Penalty ya Molson [emoji85][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1370073
Nyie ndio mwisho wenu tunaujua na pale mumejikaza tu.Haya bana lakini usifurahi sana maana kwa jinsi nionavyo safari yenu kwenye FA ni fupi sanaπππ
π π π πNingesema hivyo ungeuza simu kabisa na kuhamia kule simiyu ndanindani
Sent using Jamii Forums mobile app
Signature yako imeusuuza mtima wangu Shadeeya Wallahπ π π π
Sikuwahi kuiona kabdaπKumbe siku zote hujaiona. Lol.
Yaani tucheze hovyo tushindwe kupata matokeo halafu tugome kuongea!? Ni ujinga flani hiviINABIDI WABADILIKE SASA KWANI KUHOJIWA KUNA GHARAMA GANI JAMAANI. [emoji17][emoji17]
SABABU ILISHAPITISHWA HII KUONGEA NA MWENYE HAKI YA KUONYESHA MECHI ZA LIGI KUU NI LAZIMA SA SIJUI WALIGHAFILIKA NINI. [emoji848][emoji848][emoji848]
Wanatamani waseme Gwambina ni wabovu ndio mana tukawafunga ila wakiona huo msimamo Wa ligi inabidi wanyamazeIkiwa Gwambina ni watoto Stand United tutawaitaje eti?
Si ndio hapo. Yaani tumewapa TFF Milioni moja kwa uzembe wetu.Yaani tucheze hovyo tushindwe kupata matokeo halafu tugome kuongea!? Ni ujinga flani hivi
Umeonaeee. Huu msimamo uliwakata mdomo.Wanatamani waseme Gwambina ni wabovu ndio mana tukawafunga ila wakiona huo msimamo Wa ligi inabidi wanyamaze