Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200227_073857.jpg
 
20200227_070611.jpg
NAHODHA NA KOCHA WAKE YANGA WATOZWA FAINI

Kocha wa Yanga Luc Eymael ametozwa faini ya Shilingi 500,000 huku nahodha wa timu hiyo Papy Tshishimbi naye akitozwa faini ya shilingi 200,000 kwa kosa la kukataa kufanya mahojiano (interview) na mdhamini wa ligi kuu, Azam Media katika mechi dhidi ya Coastal Union iliyofanyika Februari 23, 2020 kwenye uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.
 
INABIDI WABADILIKE SASA KWANI KUHOJIWA KUNA GHARAMA GANI JAMAANI. 😔😔

SABABU ILISHAPITISHWA HII KUONGEA NA MWENYE HAKI YA KUONYESHA MECHI ZA LIGI KUU NI LAZIMA SA SIJUI WALIGHAFILIKA NINI. 🤔🤔🤔
 
INABIDI WABADILIKE SASA KWANI KUHOJIWA KUNA GHARAMA GANI JAMAANI. [emoji17][emoji17]

SABABU ILISHAPITISHWA HII KUONGEA NA MWENYE HAKI YA KUONYESHA MECHI ZA LIGI KUU NI LAZIMA SA SIJUI WALIGHAFILIKA NINI. [emoji848][emoji848][emoji848]
Yaani tucheze hovyo tushindwe kupata matokeo halafu tugome kuongea!? Ni ujinga flani hivi
 
MOLINGA SIBOMANA KUSUBIRI MECHI YA MBAO FC

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema washambuliaji wake David Molinga na Patrick Sibomana wanahitaji kufanya mazoezi kwa siku kadhaa kabla ya kuanza kuwatumia

Wachezaji hao walikosekana kikosini kwa wiki kadhaa kutokana na sababu mbalimbali

Kuelekea mchezo dhidi ya Alliance ambao utapigwa kesho, Eymael amesema wachezaji hao hatarajii kuwatumia "Kuhusu kuwatumia Molinga na Sibomana hapana kwakuwa hawajafanya mazoezi na timu,labda mechi ya Jumanne ndio naweza kuwatumia kama watakuwa fit kimchezo," amesema

Kikosi cha Yanga kitashuka uwanja wa Taifa leo Jumamosi kucheza na Alliance Fc na Jumanne watacheza na Mbao Fc
 
Back
Top Bottom