Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

naona wachezaji wa yanga leo wanacheza kiutulifu, naimani mtapata ushindi watani zangu, ikitokea mechi ikawa tofauti na matarajio yenu basi itakuwa ni bahati mbaya tu.
nawatakia ushindi mwema
 
Wakati natazama mpira Nilikaa na mshabiki Wa simba pembeni yangu, Basi refa alipomaliza mpira yule shabiki akaongea kwa hasira "refa ms**nge sana huku akirusha mikono na kuondoka. Nikagundua jamaa alikuwa anataka burudani iendelee
 
YANGA NDIO TIMU PEKEE HAPA NCHINI INAYOFUNGA GOLI NA WAPINZANI WANABAKI KULALAMIKIANA WENYEWE NA SI KUMLAUMU REFA
Wapinzani wao huwaga hawana ujinga wa kulaumu marefa wakati wanajua wamekosea wenyewe, Utopolo fc ndo wenye tabia ya kulaumu marefa wakati makosa wamefanya wenyewe, team inafungwa goli 3 bila na Kagera wanalaumiwa marefa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtamlaumu vipi refa ambae mmeshampa fungu lake ili awape goli za offside

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kuandaliwa karamu mezani Kwa bwana mngekuwa nafasi kama ya nne au tano hivi. Mana kuna kipindi mlichangamkia fursa kama game 6 au 7 hivi mfululizo mnashinda Kwa kupitia tff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…